Maisha hayuko fair sometimes[emoji24]

Maisha hayuko fair sometimes[emoji24]

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,175
Reaction score
1,934
Tuliowahi kuambiwa na wazazi "mpira utakupeleka wapi" pitieni hapa[emoji3596]
Bila kujua,vipaji vingi vimepotea/vimepotezwa na wazee wetu kwa kuamini elimu ndio itawatoa watoto kimaisha,mbaya zaidi mfumo ume-prove wrong.

Ushauri; Kama mtoto anaonyesha ana kipaji usimkatishe tamaa,tafuta njia nzuri ya kukuza kipaji chake,maisha hayana formula.​

FB_IMG_1620799141907.jpg
 
Wengi tumeacha mpira sababu kutoka mtihani, shida mfumo..

Wachache niliokuwa nao wametoboa, wengi wao wamekwama mtaani.

Usimfananishe mbrazil na mtanzania kwenye soka.. Sisi huku mifumo mibovu, usimuachishe mtoto shule kisa anajua saana mpira, achilia mbali kufika kama tshabalala anaweza aisifike hata kwa ally makarani.
 
Tuliowahi kuambiwa na wazazi "mpira utakupeleka wapi" pitieni hapa[emoji3596]
Bila kujua,vipaji vingi vimepotea/vimepotezwa na wazee wetu kwa kuamini elimu ndio itawatoa watoto kimaisha,mbaya zaidi mfumo ume-prove wrong.
Ushauri;Kama mtoto anaonyesha ana kipaji usimkatishe tamaa,tafuta njia nzuri ya kukuza kipaji chake,maisha hayana formula...View attachment 1781677
It doesnt work huku kwetu mkuu. Dunia ya tatu kila kitu kigumu. Alaf kwenye mpira umeenda mbali, kuna wachezaji mfano Dele Ali, Kyle Walker, Sterling na Lingard, hawa wana kinyozi wao mmoja huwa wanamlipia hadi tiketi ya ndege awafate walipo. Wakiwa tour marekani anawafata, Australia n.k.... Kwa mtindo huo, unamshauri na mwanao awe kinyozi?

By the way, Boban, Chuji na Joseph Kaniki Gorota, wazazi wao hawakuwazuia kucheza soka, vipi walikuwa wanaingiza how much per hour?
 
Waswahili umaskini huwa tunautaka wenyewe...
 
Kweli Mkuu! Pale Morogoro kuna Jamaa nlisoma nae... kiwango chake ungeweza kusema ni MESSI mpya! Lkn mwisho wa siku aliishia kucheza POLISI MORO na akaishia hapo hapo ndani ya Misimu MIWILI tu akawa Mstaafu
Wengi tumeacha mpira sababu kutoka mtihani, shida mfumo..

Wachache niliokuwa nao wametoboa, wengi wao wamekwama mtaani.

Usimfananishe mbrazil na mtanzania kwenye soka.. Sisi huku mifumo mibovu, usimuachishe mtoto shule kisa anajua saana mpira, achilia mbali kufika kama tshabalala anaweza aisifike hata kwa ally makarani.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ila huyu jamaa anawaibia tu hawa PSG, hela zote hizo hata kumbe la ligi anashindwa kuwapa
 
Tuliowahi kuambiwa na wazazi "mpira utakupeleka wapi" pitieni hapa[emoji3596]
Bila kujua,vipaji vingi vimepotea/vimepotezwa na wazee wetu kwa kuamini elimu ndio itawatoa watoto kimaisha,mbaya zaidi mfumo ume-prove wrong.

Ushauri; Kama mtoto anaonyesha ana kipaji usimkatishe tamaa,tafuta njia nzuri ya kukuza kipaji chake,maisha hayana formula.​

View attachment 1781677
Kodi anakatwa ngapi hapo????

Influencer wa wadhamini psg pale hata sishangai
 
Back
Top Bottom