Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,175
- 1,934
Tuliowahi kuambiwa na wazazi "mpira utakupeleka wapi" pitieni hapa[emoji3596]
Bila kujua,vipaji vingi vimepotea/vimepotezwa na wazee wetu kwa kuamini elimu ndio itawatoa watoto kimaisha,mbaya zaidi mfumo ume-prove wrong.
Bila kujua,vipaji vingi vimepotea/vimepotezwa na wazee wetu kwa kuamini elimu ndio itawatoa watoto kimaisha,mbaya zaidi mfumo ume-prove wrong.
Ushauri; Kama mtoto anaonyesha ana kipaji usimkatishe tamaa,tafuta njia nzuri ya kukuza kipaji chake,maisha hayana formula.