Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Taa ya mafuta ilipunguza ajali za moto, kabla ya hapo watu walitumia sana mishumaa ambayo maya nyingi ilishika moto wa pazia au karatasi zilizo chumbani.
Bakuli au baseni likitumika kunawia asubuhi, hasa wale waliohitaji kuwahi shughuli asubuhi. Wanaume waliweza ku shave ndevu. Matumizi mengine yalikua, Wenyewe waliita personal hygiene kwa wote wanaume na wanawake poa.
Sikuhizi una chumba ensuite, hizi ndiyo zilikua en-suites za miaka ya 1800.