Maisha kwenye miradi inayohusu ufadhili wa pesa za wahisani

Maisha kwenye miradi inayohusu ufadhili wa pesa za wahisani

LostkiD

Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
47
Reaction score
101
Habari zenu Wana Jambi

Kwa miaka kadhaa nimefanya kazi kwenye eneo la miradi hasa inayohusu maswala ya ukimwi! Nikapata uzoefu kwenye maeneo kadhaa

Kwanza mara nyingi ni maisha ambayo most of the time mpo under pressure mnakimbizana na performance vikao daily simu kila wakati maBoss wanataka performance iwe juu SAS uwe kwenye eneo la chini field I mean ndo naona uta experience pressure kwa ukubwa sana kufokewa kuvimbiana.

Jambo jingine mambo mengi yapo kwenye makaratasi but in real sense hayafanyiki field kwnye mradi wetu tulikua na kitu kinaitwa care plan ni huduma ambazo sinajazwa kwenye madaftari but in reality hakifanyiki chochote

Changamoto nyingine inakua n ngumu kujiendeleza kielimu kwa nyakati nyingi unakuta man power ni ndogo so mtu Mmoja unapswa ufanye majukumu ya watu hata wanne unachoka ila inabid ufanye


Je wengine ambao mmefanya kazi kwenye miradi hasa inayofadhiliwa na pesa za wamarekani hali ilikuaje ? Na je inapotokea nafasi ya kurudi serikalin hua mnaend kufanya kazi au mnakomaa na miradi?
 
Back
Top Bottom