King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
.. Mkuu, kama hutajali tunaomba ufafanuzi zaidi hapa. Utakuwa umesaidia vijana wetu wengi.
Issue inakuwaje ili kuipata hiyo deiwaka??
Nenda asubuhi na mapema mikocheni industrial area kuulizia deiwaka,kazi haziji kirahisi lazima ufight ,ukifika tafuta vijana wanaosubiri kuingia viwandani mueleze hitaji lako atakupa info jinsi ya kupata mzigo....kazi nyingi za viwandani huwa zinapatikana sana kwasababu mapato yake ni kinyonge!!