Maisha magumu sana jamani

We si mzinzi uliyekuwa unajinadi kuwa wanaume wapole muwaogope sijui anatawanya tako moja kule jingine kule sijui anakuhemesha komaaa na malipo ya uzinxi wako [emoji491]
 
Unaamka asubuhi na njaa unawaza, niende kwa mganga sina ela, au niende kwa mchungaji sina Sadaka( si unajua wachungaji hawakuombei bila hela). CCM Mungu aibariki tu.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Ummeongea ukweli mkuu. Binafsi mmi namshukuru Mungu kwa ninachokipata kupitia baraka zake sijawahi kuhadhirika .

Pamoja na hayo pesa haikai mfukoni kiasi kwamba kukabili bajeti za kila siku imekuwa mtihani sana

Hali sio salama
 
Yes kama huna kazi ya uhakika ya kuajiliwa na mtaji wako wa biashara ni mdogo aisee kazi unayo - pole sana.
Unaweza ukawa na mtaji mkubwa na biashara ikawa haitoki inavyotakiwa na maisha tunategemeana yule wa chini Kama pesa Hana wewe utauzaje biashara Mimi Niko kwenye biashara na Sasa ivi wale wenye maduka makubwa yalio kariakoo wanatafuta wateja wa mikoani huku kwa nguvu na wale Wana mitaji mikubwa kwa hio maisha hayana formol Cha muhimu ni kumuomba mungu na kuendelea kupambana bt mitaani Hali ni tete
 
Na huu ndio ukweli wenyewe.
 
Hakuna maisha ya Hakuna maisha ya mchezo mchezo nenda popote duniani utakuta kila mahali pana ugumu wa maisha
 
tatizo la ugumu wa misha hii nimisingii ambayo haiko sawaa tizama nchin zilizo endelea mtu wa khari ya chini anamiliki boda 2mbili tatu huku kwetu hata pakulala hana,nchi zilizo endelea kwanza ongozi unaimarisha huduma muhimu za kijamii ikiwemo ajira kwa wale walio soma na wasio naelimu ,umeme,nchi nzima maji,nchi nzima ndo wimbi la umasikin linapotezwa hivo [emoji848] huku kwetu hadi leo umeme kuna maeneo hakuna maji hakuna je wananchi watapata maish linii[emoji120]
 
Hata huku kwetu Kenya vyuma vimekaza Sana wakuu, ila tuendelee kupambana tu maana hatuna jinsi.
 
Huko unakoishi ww ni wapi sioni uhalisia wa unachokisema zaidi ya nadharia,huku nilipo sijawahi kumwambia mtu kwenye Daladala sogea kidogo akanitukana
 
We si mzinzi uliyekuwa unajinadi kuwa wanaume wapole muwaogope sijui anatawanya tako moja kule jingine kule sijui anakuhemesha komaaa na malipo ya uzinxi wako [emoji491]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…