Maisha magumu sana wakuu

Maisha magumu sana wakuu

unakuta mtu ilikuwa umezoea kitonga unakula batamjini unapewa lakitano naushee za birthday navitu vingine
ghafla yule anaekupa hivyo vitu anatekwa nawanaokuonea wivu unaamua kuvunja mahusiano waleweziwako wanajibebisha wamdake jamáa

jamaa anawapitia na kuambukizwa gono anaamua kutemana nao[emoji1787]

uliezoea dezo maisha yanakuwia magumu kwani unaishi uswekeni mjini unapaona kwenye tv tuu.siunajuatena ukiishi nawanajeshi unapelekwa kijeshijeshi hamna kudekezwa no bata shule nyumbani shule nyumbani[emoji16]

unamisi batalamjini unaamua kuludisha majeshi kwamwamba anaejua kutojali akiamua kufanya jambolake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani utahangaika wewe yeye walahanahabari.mamboyako anakuachia mwenyewe

najua yotehayo nikwasababu yamaishamagumu.ndio imepelekea kurudisha majeshi ila wewe nimke wamtu umalaya uafanya kwaajili yanjaa siovizuri fanyakazi halali

sasawatoto unaowafunza unawafunza nini?umalaya au? unawafunza maisha yakiwa magumu warudi kwamax?

halafu ulivyo mjinga badala yakufanya kimyakimya wewe unatusanua unaona unatukomoa au?achaujinga mtelibani atakupindua tena ngoja asikie hizi habari uone.

sema unataget nzuri mnoo umetega kipindi chasikukuu ndio umelifufua penzi.wajanja tunajua umefata hela yasikukuu mjeda njaakali

sema mamboyako nakuacha mwenyewe.nilikuja pm kukutongoza ukanigomea.[emoji16][emoji16]
Mwanamke hawezi kufanya umalaya kwa sababu ya njaa, ni kwa sababu ya kukosa utoshelevu kwenye mahusiano yao. Mwanamke ni mvumilivu kuliko mwanaume.
 
Siyo sahihi kusema au kufikiri "maisha magumu"
Mtu unapaswa kuwa na imani.
Hao waliosoma mpaka darasa la saba,lakini wana mke na watoto watano,wanaishi vipi?
 
Unatukana Nini sasa unatafuta banned???
UKiona unatumia nguvu kubwa sana kulazimisha mtu asijitambue, wewe mtumia nguvu kubwa ndio mwenye shida. Halafu bado wewe ni mdogo sana unajiingiza kwenye ligi za kaka zako ambao akili zao zimeshaharibika yangu macho tu utakuwa kama waleee maana inaonyesha unatamaa sana dogo
 
Wewe kwani vipi sikuelewi mara unitag kwani shida yako ni Nini mbona unanitukana na kunikosoa sana mara uniambie mie genta wewe unataka Nini hasa yaani mie sikujui usifosi kujuana sawa ya Nini uniite dogo wakati mie mtu mzima mbona hauna adabu ndo ulivyo fundishwa kudharau Kila mtu ambae ni unknown
Embu kuwa na heshima humu Jamiiforums sio sehemu ya kutukana ni sehemu ya kutoa hoja sawa kiongozi
 
UKiona unatumia nguvu kubwa sana kulazimisha mtu asijitambue, wewe mtumia nguvu kubwa ndio mwenye shida. Halafu bado wewe ni mdogo sana unajiingiza kwenye ligi za kaka zako ambao akili zao zimeshaharibika yangu macho tu utakuwa kama waleee maana inaonyesha unatamaa sana dogo
Kuanzia Leo iwe mwanzo mwisho kunitag hapa jamiiforums usifosi mazoea nami sikujui hunijui sawa na ukiendelea kunitukana na kunidhalilisha ntakuchukulia hatua stahiki
 
Kuanzia Leo iwe mwanzo mwisho kunitag hapa jamiiforums usifosi mazoea nami sikujui hunijui sawa na ukiendelea kunitukana na kunidhalilisha ntakuchukulia hatua stahiki
Nimekufuatilia muda mrefu, hebu tulia rafiki yangu.
Huyu mtu usimjibu tena, imetosha.

Mambo yanazidi kuwa mabaya kwa kuwa unamjibu, ukiacha kufanya hivyo utasahau kama hata yupo.
Pole
 
Kuanzia Leo iwe mwanzo mwisho kunitag hapa jamiiforums usifosi mazoea nami sikujui hunijui sawa na ukiendelea kunitukana na kunidhalilisha ntakuchukulia hatua stahiki
Acha kufuatafuata watu mtoto wewe. Kati ya mimi na wewe nani kaanza?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom