Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #61
Achana nao bhna kwani si ulitoka mwenye tumbo. Au mpo mapachaSijui kwann mtu anakua anataka kujua unapokaa wakati kuna mda sahihi ukifika nitafunguka mwenyewe..
Sasa unakuta mpaka mzazi anakutolea maneno ya hovyo nanhayupo mjini hapa yupo mkoani et anataka ajue unaishije ishije..
Mkuu hii ni huruma kweli au kuna kingine
Wengine kama huku vingunguti sifa lete kijoraWote?
Sijaelewa mheshimiwa mwachiluwi.Wengine kama huku vingunguti sifa lete kijora
Duh mamb yanazidianaKuna mtu nlikutana nae saa2 usiku akanambia za asubuh.....maisha ni magumu kwel
Mkuu itakua unakaa stoo wewe๐Sijui kwann mtu anakua anataka kujua unapokaa wakati kuna mda sahihi ukifika nitafunguka mwenyewe..
Sasa unakuta mpaka mzazi anakutolea maneno ya hovyo nanhayupo mjini hapa yupo mkoani et anataka ajue unaishije ishije..
Mkuu hii ni huruma kweli au kuna kingine
Wengine kama huku vingunguti sifa lete kijora
Ni msukuma kumbeView attachment 3078421
shemeji yako hapo umemuona lakini?
Sijataja kabila lakiniNi msukuma kumbe
Ila nguo zinajionyeshaSijataja kabila lakini
Mkuu unampelka mtu kwa mshangazi its really seriousMkuu itakua unakaa stoo wewe๐
Mshangazi wenyewe ni BICHWA KOMWE - hapo lazima bichwa liume๐๐Mkuu unampelka mtu kwa mshangazi its really serious
Aaaah acha tuu mkuu...Mshangazi wenyewe ni BICHWA KOMWE - hapo lazima bichwa liume๐๐
Mimi hua mawambia mazingira ninayokaa bado hayako vizuri yakiwa poa nitawaita coz ndugu wengine wachawi tuuAaaah acha tuu mkuu...
Yaani sometimes unapata mpaka maneno ya ajabu ajabu ila ndo ujui tena utafanyaje.
Hvi ilete mtu apajue kwako ili akatangaze๐๐๐๐
Niny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
Afadhari wewe... Ni wengineMimi hua mawambia mazingira ninayokaa bado hayako vizuri yakiwa poa nitawaita coz ndugu wengine wachawi tuu
Ahahahah magumuYaani unapata Chips na mishikaki ya Paka na Pepsi baridi unasema maisha magumu?
Tupambane mkuu, HELA ZIPO NYINGI SANA LABDA KAMA HUZITAFUTINiny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma