Maisha magumu

Maisha magumu

Sijui kwann mtu anakua anataka kujua unapokaa wakati kuna mda sahihi ukifika nitafunguka mwenyewe..

Sasa unakuta mpaka mzazi anakutolea maneno ya hovyo nanhayupo mjini hapa yupo mkoani et anataka ajue unaishije ishije..

Mkuu hii ni huruma kweli au kuna kingine
Achana nao bhna kwani si ulitoka mwenye tumbo. Au mpo mapacha
 
Sijui kwann mtu anakua anataka kujua unapokaa wakati kuna mda sahihi ukifika nitafunguka mwenyewe..

Sasa unakuta mpaka mzazi anakutolea maneno ya hovyo nanhayupo mjini hapa yupo mkoani et anataka ajue unaishije ishije..

Mkuu hii ni huruma kweli au kuna kingine
Mkuu itakua unakaa stoo wewe😂
 
Wengine kama huku vingunguti sifa lete kijora
6c258a162242615a79d195411607917d.png

shemeji yako hapo umemuona lakini?
 
Aaaah acha tuu mkuu...
Yaani sometimes unapata mpaka maneno ya ajabu ajabu ila ndo ujui tena utafanyaje.

Hvi ilete mtu apajue kwako ili akatangaze😂😂😂😂
Mimi hua mawambia mazingira ninayokaa bado hayako vizuri yakiwa poa nitawaita coz ndugu wengine wachawi tuu
 
Back
Top Bottom