Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TushapoqPole sana mkuu
Umeoa au umeolewa?Niny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
Maisha magumu hadi ukikumbuka ulivokua unapiga kelele darasani, unakosa raha.....Niny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
Acha kubetiNiny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
Haina ma**kohela haikai ase
Bitter truthHakuna siku maisha yaliwahi kuwa marahisi, Hakuna maisha rahisi, Hakuna siku maisha yatakuja kuwa marahisi.
Option ni tatu, You go hard,
You go home or You die .
This world isn't for lazy and weak people.
Jikaze hata huku hivyo hivyoNiny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
HaahahahhHapo ishu sio maisha magumu, ishu ni huna hela mkuu
Ahahahha na ulikuwa unamwambia mota usisahau kuandika jina la ukoMaisha magumu hadi ukikumbuka ulivokua unapiga kelele darasani, unakosa raha.....
Wala sijabetAcha kubeti
Wala sijabet
MhAcha kubeti mkuu pesa itakua inakaa ila usipo acha hakika utazidi kuleta nyuzi za hard Life
Ahhaha hapanPunguza idadi ya Ke unaomiliki