Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hawezi kuchukua 50%. Mengi ana watoto wakubwa bila shaka. Mali zote alizozikuta hazimhusu katika urithi. Yeye ataanzia pale alipopakuta.Ongeeni weeee,Mara alimpenda sijui nn
Ukweli utabaki pale pale,huwezi kuishi na mtu mzima vile ukasema unampenda ni uongo %100 ,alifuata pesa!unafikiri kuishi na mzee kazi rahisi?uliza uambiwe!
Kuna wazee wangapi wasio na wake? Mbona hakuna anaewashobokea?tusidanganyane!
Pesa achume na mkewe,wame hangaika mtu ki rahisi tu eti anakuja kuchukua share50% ,tupo hapa,tutayaona! Mungu ni wa haki, Hii comment nitaifukua siku ya siku.
Mkuu umeeleza vizuri sana, ingawa najiuliza mtu aliyeonekana kwenye hali ile anawezaje kusafiri hapa na pale kwenda kula bata badala ya kutafuta matibabu?Kwani Rebecca ina maana ulitegemea Mengi afie kwenye mikono ya nani? Mengi asingelikufa? Kwanini kifo kimuandame wakati kifo ni swala la kawaida kwa binadamu? ulimuona Mengi kwenye msiba wa Ruge alikuwa na hali gani?
Kila mtanzania alishafiwa na ndugu au mtu wake wa karibu na kama ukifiwa na mtu akiwa mikononi mwako basi kifo kina kuandama basi kila mtanzania ana anndamwa na kifo.
Hawezi kuchukua 50%. Mengi ana watoto wakubwa bila shaka. Mali zote alizozikuta hazimhusu katika urithi. Yeye ataanzia pale alipopakuta.
Mkuu umeeleza vizuri sana, ingawa najiuliza mtu aliyeonekana kwenye hali ile anawezaje kusafiri hapa na pale kwenda kula bata badala ya kutafuta matibabu?