Maisha Mapya ya Jackline Ntuyabaliwe...

Maisha Mapya ya Jackline Ntuyabaliwe...

Status
Not open for further replies.
Ongeeni weeee,Mara alimpenda sijui nn
Ukweli utabaki pale pale,huwezi kuishi na mtu mzima vile ukasema unampenda ni uongo %100 ,alifuata pesa!unafikiri kuishi na mzee kazi rahisi?uliza uambiwe!
Kuna wazee wangapi wasio na wake? Mbona hakuna anaewashobokea?tusidanganyane!

Pesa achume na mkewe,wame hangaika mtu ki rahisi tu eti anakuja kuchukua share50% ,tupo hapa,tutayaona! Mungu ni wa haki, Hii comment nitaifukua siku ya siku.
 
Hawezi kuchukua 50%. Mengi ana watoto wakubwa bila shaka. Mali zote alizozikuta hazimhusu katika urithi. Yeye ataanzia pale alipopakuta.
 
Kwani Rebecca ina maana ulitegemea Mengi afie kwenye mikono ya nani? Mengi asingelikufa? Kwanini kifo kimuandame wakati kifo ni swala la kawaida kwa binadamu? ulimuona Mengi kwenye msiba wa Ruge alikuwa na hali gani?
Kila mtanzania alishafiwa na ndugu au mtu wake wa karibu na kama ukifiwa na mtu akiwa mikononi mwako basi kifo kina kuandama basi kila mtanzania ana anndamwa na kifo.
Mkuu umeeleza vizuri sana, ingawa najiuliza mtu aliyeonekana kwenye hali ile anawezaje kusafiri hapa na pale kwenda kula bata badala ya kutafuta matibabu?
 
Hawezi kuchukua 50%. Mengi ana watoto wakubwa bila shaka. Mali zote alizozikuta hazimhusu katika urithi. Yeye ataanzia pale alipopakuta.

Mwenye Mali Ndo kaamua kumpa mkewe coz Ana watoto wadogo, hiyo mitoto ya mengine mikubwa ikatafute Mali zao, Mengi kashampa k-lyn 50% , Sasa nyie ni nani muanze kubweka, mxieww
 
Mkuu umeeleza vizuri sana, ingawa najiuliza mtu aliyeonekana kwenye hali ile anawezaje kusafiri hapa na pale kwenda kula bata badala ya kutafuta matibabu?

Nilivyomuona tu kwenye msiba wa ruge, nikasema huyu mzee his days are numbered , Tatizo K-Lynn alikua anamzungusha sana mzee wa watu Ila hali yake haukua nzur
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom