Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Khaaah!!
Yaani umekaa zako unadhani mafanikio ya watu ni bahati,siyo kweli.
Ni kwamba bahati humkuta aliye tayari kwenye circle na angle sahihi.
MAISHA siyo nadharia eti ujifunze mbinu za kutafuta pesa Kwa kusoma kitabu ulichonunua mtaani Kwa buku kumi.yaani mtu apoteze mamilioni ya Ada kutafuta good life then wewe ununue kitabu eti upate ahueni.
Umerogwa wewe.
MAISHA ni connection, kujituma,kujitesa Kwa muda fulani,kuwa msumbufu na mdadisi Kwa Nyakati fulani ngumu na siku nyingi.
Bro to bro jitumeni,acheni visingizio,maisha ni maandalizi ,nidhamu ya pesa na life la viwango litakuja tu.