Maisha mazuri hayaji kwa bahati ni mipango na nidhamu
Naomba tukae hapa peke yake tofauti na maelezo ya uzi, hiki tu kichwa cha uzi
Bahati ni maandalizi yanapokutana na fursa.. et Mkuu unapozaliwa na bilgate/bakharesa/Dangote daah najaribu kufikiria kama bahati ipo na tofauti na hii bahati inayozungumziwa
Ya maandalizi kukutana na fursa..
Uzaliwe ukute baba yako raisi,mfalme kiongozi mkubwa hii ni bahati.. uzingatiwe upekekwe kusoma nje au ndani ila shule ya mwanafunzi kuzingatiwa tofauti na hizi dawati jiwe
Uzaliwe ukute baba ako tajiri wa kutosha, tofauti uzaliwe ukute baba ako amiliki hata kijiko.. bahati zipo Mkuu