Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Kiroho bahati tunaiita NEEMA YA MUNGU. Bila hiyo Mwanadamu anachokitafuta hatakipata kamwe.Formula namba moja ya maisha ni bahati. Maisha ni bahati hiyo ndio formula namba moja. Kwamba jitihada hazizidi kudura.
Kisha kwenye bahati ndio kuna jitihada
Hii ilikuwa lazima nayo!Khaaah!!
dah,Khaaah!!
Yaani umekaa zako unadhani mafanikio ya watu ni bahati,siyo kweli.
Ni kwamba bahati humkuta aliye tayari kwenye circle na angle sahihi.
MAISHA siyo nadharia eti ujifunze mbinu za kutafuta pesa Kwa kusoma kitabu ulichonunua mtaani Kwa buku kumi.yaani mtu apoteze mamilioni ya Ada kutafuta good life then wewe ununue kitabu eti upate ahueni.
Umerogwa wewe.
MAISHA ni connection, kujituma,kujitesa Kwa muda fulani,kuwa msumbufu na mdadisi Kwa Nyakati fulani ngumu na siku nyingi.
Bro to bro jitumeni,acheni visingizio,maisha ni maandalizi ,nidhamu ya pesa na life la viwango litakuja tu.
Kama ni Hivyo hutowasikiliza wabobezi wa uchumi!Kama hujanizidi uchumi, usipoteze muda kunishauri kuhusu chochote.
Kwangu, Mbobezi wa uchumi ni yule aliyenizidi uchumi tu mkuu.Kama ni Hivyo hutowasikiliza wabobezi wa uchumi!
Vipi Kwa wale wasio na Imani ya dini na wamefanikiwaKiroho bahati tunaiita NEEMA YA MUNGU. Bila hiyo Mwanadamu anachokitafuta hatakipata kamwe.
By the way nje ya Kristo Yesu hakuna mafanikio ya kweli bali viini macho vya kujilisha upepo!
Wachunguze kwa makini ambao hawapo ndani ya Kristo Yesu lakini Wana hicho unachokiita "mafanikio" uone kama wana Unconditional peace and joy nafsini mwao,utajifunza jambo jipya na utakuwa umepata jibu la swali lako!Vipi Kwa wale wasio na Imani ya dini na wamefanikiwa