Maisha Mazuri yakija kwa Bahati mbaya ukubwani lazima uwe mswahili kama Diamond

Asante sana mkuu
 
Hahahahaaaaaaaaa ALIKIBA mkubwa sana kimuziki levo yake ni belle 9 tu.
 
Hivi kwann akiongea diamond mnaita uswahili, ichoicho akiongea dimpoz au kiba hamsemi, Leo dimpoz kapost uswahili mtupu tangu post ya ujanjaujanja na saiv kapost ya wema uswahili mtupu mmeona ya diamond2, mamaaer nyie
Mswahiliiiiii mtandale hahahaaa
 
Wanatamani kam afe leo.....
Na iikitokea katoweka duniani..he will still be diamond hata makumbusho sanamu lake litawekwa cz ndio msanii pekee aloitambulisha tz nje ya nchi...hao matako waende zao
Hata KENYA nje ya nchi bw Tofali usihadaike Hahahaaaa.
 
Tena atukome na uswahili wetu, ndio uliotukuza mpaka tulipofikia, and we really enjoy it. No culture like Swahili culture. Very friendly.
 
Uswahili ni kujadili mambo ya watu. Nadhani wewe pia ni kielelezo cha uswahili.
 
Na wewe sio mswahili mkuu mleta thread? Manake ukiwa mfatiliaji wa maisha ya mtu nawe ni mswahili...kwani hakunaga ishu zingne hadi kumjadili huyu jamaa...mwacheni afanye ishu zake...
 
Wote waswazi kuanzia huyo unaemkubali hadi huyo unaemchukia...usitake egemea pande moja kisa mahaba...wabongo wengi waswahili
 
Yanini jamaa anaongea mambo ya hovyo hovyo..sijui huyu diamond kaishia darasa la ngapi

Darasa la pili Lakini wewe mwenye Phd Na kuongea vizuri sana sijui nani anakujua.
Sasa ulizia huyu msanii watu wengi duniani wanamjua Na maisha siyo kama ya zamani.
Mola amzidishie sanaaaa tu
 
Wote waswazi kuanzia huyo unaemkubali hadi huyo unaemchukia...usitake egemea pande moja kisa mahaba...wabongo wengi waswahili

Sasa ulitegemea WaBongo wawe Wanaijeria Au wachina
 
Huyo mtoto Domo chizi kweli eti anataka mkali nani,wamekutana jukwaa moja mara tatu mzima na Mara zote anakalishwa na kupigwa makopo juu.Sasa sijui anataka nini ?!!Show za live hawezi kazi kuplay back sasa anataka kushindana na mshindi!!
 

Shikamoo chige.Maana mtu akiwa muongo NI rahisi kusahau.ameleta ya Diamond yamekuwa ya kwake. JF mpaka raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…