Master's hata kuandika Kiswahili hujui...
By the way, hata kama una PhD haifuti ukweli kwamba umeajiriwa kwa cheti feki na ndio maana una stress! But all in all, Is it coincidence hiyo post hapo juu umefichua siri ya kutumia cheti fake mwaka 2010 na hatimae:
Tu-assume kwamba, mwaka 2011/2012 ulianza Form V kwahiyo ulimaliza VI kwa kutumia cheti feki 2013. Again, uongozi unakuacha tu usitumikie ajira yako bali uendelee kusoma na kwahiyo 2013/2014 Ukaanza First Year chuo Kikuu! Yaani mara hii una Master's? Jibu hapana, HAIWEZEKANI na kinachowezekana ni hiki hapa ambacho umeshakisema wewe mwenyewe:Halafu acha fix bhana... ushindwe kufaulu vizuri Form IV wakati unashinda darasani halafu uje kufaulu vizuri Form VI wakati unasoma kwa kuunga unga!!!