We kaa kwa kutulia, tu unangangania madogo hao wadada wenye agemate yako unamwachia nani eti wakina naniliii au mpaka niwataje hapaNani mwenye lesseni. Au ndo vile ndoa mpauko. Au mnataka Rondo movements nizihamishie humu ?
Hatupo shule hapa 😁😁Usisahau with vivid examples 😂
aaah wap siwez bato lenuBattle linataka kuwa kali vibaya mno.
we're both introverts.... we both have dark skin.... we are not tukunyemas 😂Usisahau with vivid examples 😂
Kwahiyo unaaga mashindano😂?aaah wap siwez bato lenu
Unajuaje kama ile picha sio yangu😂?we're both introverts.... we both have dark skin.... we are not tukunyemas 😂
Waambie hao wajumbe wasijifanye panya wa ghalaniEti ndoa mpauko😂😂🏃♀️
Haya, ujumbe mmeupata😂?Waambie hao wajumbe wasijifanye panya wa ghalani
kijana mwache ajitetee 😂We kaa kwa kutulia, tu unangangania madogo hao wadada wenye agemate yako unamwachia nani eti wakina naniliii au mpaka niwataje hapa
Hahaha nimekaa 👉👉👉👉 msindi anajulikana 😎😎😎Waambie hao wajumbe wasijifanye panya wa ghalani
Umri wangu unajua Bw. Mpina ?We kaa kwa kutulia, tu unangangania madogo hao wadada wenye agemate yako unamwachia nani eti wakina naniliii au mpaka niwataje hapa
love will find a way😂Unajuaje kama ile picha sio yangu😂?
Atapata tabu sanakijana mwache ajitetee 😂
kuna msemo niliambiwa; 'a woman's phone, is a sea of d*cks' 😂
Siujui ila sishindwi kuukadiria mkuuu,Umri wangu unajua Bw. Mpina ?
Basi poa 👏Msindi ni Jina la Afande Sele kijana vipi.?
Above 28 less than 35Kadiria sasa
Pole sana areef.Above 28 less than 35