Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Unapenzika tuu.Aww😇, the most enjoyable feeling ya kupendwa na crush jamani😂😍❤️
PM zangu Huoni au dharau ?
#pitaVisungura
Unapenzika tuu.Aww😇, the most enjoyable feeling ya kupendwa na crush jamani😂😍❤️
hakuna kitu mwanadamu atafanya basi kitamfurahisha akifa hakuna ila muhimu ni kufurahia wakati ulionao na wale ulionao basi inatosha, maana haya maisha ni ubatili mtupu kweli vile nakwambia. aliyejenga shule, kanisa, msikiti na chochote kile hakitamfanyia yeye lolote pale atakapokufa. ishi na ufurahie maisha yako maneno na sifa baada ya kufa hazina mashiko yeyote kwako wewe uliyekufa.Hapa sitasema mengi ila ni jambo muhimu sana, kwakua nishajua tu kuwa haya maisha ndio yananipangia
Nakunavitu siwezi kwepa hata nifanye nini? Basi haina haja ya kutafuta upendo na kuogopa kifo
Wacha huzuni ije kwani kuna muda utakutana na mtu hata kwa 30min tu akakupa furaha na ndio ikawa amani yako ya mwisho duniani
Still hata nikifa kesho ningependa tu kunwambia mtu ninaye mpenda kwamba nilitamani nini sema tu muda wangu haukunipa hiyo nafasi
Unapenda kunipa lawama😂🏃♀️Unapenzika tuu.
PM zangu Huoni au dharau ?
#pitaVisungura
😀 mpe nafasi vijana hawa hawachelew kujiua kisa mapenziTulia tumshangaze😂
Nafasi kama imejaa fulani hivi🏃♀️😆😀 mpe nafasi vijana hawa hawachelew kujiua kisa mapenzi
Wote wangu hawa😳😂🏃♀️?
chagua mama.... umetuweka line mda mrefuWote wangu hawa😳😂🏃♀️?
Mbona mimi sina taarifa 😂👋chagua mama.... umetuweka line mda mrefu
ngoja waje wababa 😂Mbona mimi sina taarifa 😂👋
😂😂😂👋 Wanifie?ngoja waje wababa 😂
Tabia mbaya 😂😂😂View attachment 2623179
Iz zis acceptable?
Alaaaa unaniweka kwenye kundi lenu sio🤣🤣🤣
kuna msemo niliambiwa; 'a woman's phone, is a sea of d*cks' 😂😂😂😂👋 Wanifie?
Battle linataka kuwa kali vibaya mno.Alaaaa unaniweka kwenye kundi lenu sio🤣🤣🤣
najua bato unalitaka😂Alaaaa unaniweka kwenye kundi lenu sio🤣🤣🤣
Damnit 😂, kwendraaaa.kuna msemo niliambiwa; 'a woman's phone, is a sea of d*cks' 😂