Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 4,423
- 9,296
- Thread starter
- #21
We kajaamaa unawaza kukwea pipa kweli Binadamu tupo tafauti sanamimi kiuweli marekani jamani jamani marekani nyie acheni tu😔😔😔
We kajaamaa unawaza kukwea pipa kweli Binadamu tupo tafauti sanamimi kiuweli marekani jamani jamani marekani nyie acheni tu😔😔😔
maandishi yako na zile selfie zako za staki-nataka vimenichanganya....Aww😇, the most enjoyable feeling ya kupendwa na crush jamani😂😍❤️
😂 Kwanini?maandishi yako na zile selfie zako za staki-nataka vimenichanganya....
mwanachuo, choka mbaya tu kama litutumbweaisee 😅, kwahiyo hii ndo mood yake ya leo 😂😂
basi tu yaani the vibe.... afu we mwembamba flani hivi 'slimthick' napenda sana 😅😂 Kwanini?
Mdogo wangu umenichoka sana 😂😂😂😂huyu dogo msanii we kwani humuelewi 😂
😂 Hutaki tukunyema?basi tu yaani the vibe.... afu we mwembamba flani hivi 'slimthick' napenda sana 😅
😂😂😂😂, amna bhana my friend hajafikia hatua hiyo Binadamu Mtakatifumwanachuo, choka mbaya tu kama litutumbwe
dogo hapa unatupigisha soga 😂Mdogo wangu umenichoka sana 😂😂😂😂
Sikutegemea kabisa
Kuna manzi nilikutana nae maeneo sasa huyu kiumbe nimemzimia tokea utotoni. Tatizo nilikuwa nimelewaa sanaaa nikahofia kumwabia kama nampenda kwasababu angeona anatongozwa na mlevi. Mama..ee sijaonana nae tena nishamfata fb huko hata kujibu hataki, sasa sijui malaika wa kifo atasubiri mpaka nitoe mistari?.Still hata nikifa kesho ningependa tu kunwambia mtu ninaye mpenda kwamba nilitamani nini sema tu muda wangu haukunipa hiyo nafasi
hapana.... mi ni wa tofauti... I'm a catch😂😂 Hutaki tukunyema?
Yani huyo Hanipendi sana kuona nipo na rafiki kama wewe😂😂😂😂, amna bhana my friend hajafikia hatua hiyo Binadamu Mtakatifu
amekula ada, amebet yote ndo maana anwaza kufakufa 😂😂😂😂😂, amna bhana my friend hajafikia hatua hiyo Binadamu Mtakatifu
achana nae huyo,, guess🤗Yani huyo Hanipendi sana kuona nipo na rafiki kama wewe
Unajua umekuja kama malaika from no where sikudhani kama ningekuwa na watu ambao wananikumbuka sana humu
Pls let me know umri wako au ni guess
Try ur best mkuu nafasi unayo mweleze tu feelings zako hata akiona unampigia kelele sawaKuna manzi nilikutana nae maeneo sasa huyu kiumbe nimemzimia tokea utotoni. Tatizo nilikuwa nimelewaa sanaaa nikahofia kumwabia kama nampenda kwasababu angeona anatongozwa na mlevi. Mama..ee sijaonana nae tena nishamfata fb huko hata kujibu hataki, sasa sijui malaika wa kifo atasubiri mpaka nitoe mistari?.
Sio kweliamekula ada, amebet yote ndo maana anwaza kufakufa 😂
20😁achana nae huyo,, guess🤗
kwahiyo wewe mkuu pipa sio ishu kwako ?We kajaamaa unawaza kukwea pipa kweli Binadamu tupo tafauti sana
Nimeridhika tu kwangu furaha ni jambo muhimu zaidikwahiyo wewe mkuu pipa sio ishu kwako ?