kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,721
- 6,513
sasa umeridhikaje mkuu au wewe mramba asaliNimeridhika tu kwangu furaha ni jambo muhimu zaidi
sasa umeridhikaje mkuu au wewe mramba asaliNimeridhika tu kwangu furaha ni jambo muhimu zaidi
Hamna mkuu sema tunatofautiana mapendeleosasa umeridhikaje mkuu au wewe mramba asali
hapana,,, wewe ndo upo huko kumbe 😳😳
embu nipe vipaumbele vyakoHamna mkuu sema tunatofautiana mapendeleo
Kama hutojali my friendhapana,,, wewe ndo upo huko kumbe 😳😳
Yani Amani na furaha tu inatoshaembu nipe vipaumbele vyako
jinsia mkuuYani Amani na furaha tu inatosha
Mwanaumejinsia mkuu
anajiita mwachiluwi
si unaelewa tena bro....Ms eyes kuna jamaa anadai amekuf ameoza huku
kwanini mwanaume uwe vipaumbele vyako iwe furaha na amani why how ?Mwanaume
Mbona hii ID ni yazamani kabla ya Johnnie walkeranajiita mwachiluwi
Kwaiyo huko america utaenda ishi kama digidigi?kwanini mwanaume uwe vipaumbele vyako iwe furaha na amani why how ?
Binadamu Mtakatifu nashukuru kwa ushirikiano wakoKwaiyo huko america utaenda ishi kama digidigi?
Umeongea kwa hisia kaliHapa sitasema mengi ila ni jambo muhimu sana, kwakua nishajua tu kuwa haya maisha ndio yananipangia
Nakunavitu siwezi kwepa hata nifanye nini? Basi haina haja ya kutafuta upendo na kuogopa kifo
Wacha huzuni ije kwani kuna muda utakutana na mtu hata kwa 30min tu akakupa furaha na ndio ikawa amani yako ya mwisho duniani
Still hata nikifa kesho ningependa tu kunwambia mtu ninaye mpenda kwamba nilitamani nini sema tu muda wangu haukunipa hiyo nafasi
Mhhhh je wewe ungependa nini?Umeongea kwa hisia kali
Nivizuri sanakiukweli nafsi yangu inaumia sana na baadhi ya tabia zangu.
InshaAllah mwenyezi Mungu anijaalie niache yale yote yenye kumkera, nianze kufanya ibada na kuachana na ujinga wote ikiwa pamoja na kupata mke halali wa ndoa awe pia mcha Mungu.. kabla ya mwisho wangu natamani sana kuwa hivi..