Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Shukrani sana kwa stori ndugu... Nimejifunza kitu.. kuwa jasiri inasaidia sana katika mapambano ya maisha.. usiwe mnyonge..
 
Mambo ya mitandaoni bwana yanasikitisha,ninaitwa "mama watoto" na dogo ambae ninaweza kumuoa mama yake na nikawahudumia yeye ,baba yake na wadogo zake nkawapeleka shule

Achana nae kaka,
Jamaa Kama anajitangaza humu kuwa ni Mwanajeshi aliyewahi kushiri MISSIONS DRC .
Umeona kila wakati Anasema njo kwenye FIELD FIELD.
Makosa makubwa kujinasibu hovyo mitandaoni.
 

Jiangalie wewe
Hii mitandao.
 
It was a nice story ever na uliandaka vizuri sana kwa mtiririko sahihi.
 
Kuna ile video ya mitandaoni walimpa mashine sokwe kabisa, si akawabadilikia na kuanza kuzipiga walipo? walitoka nduki
 
Ni Serenje sio selenji....Zambia njaa kali, na mademu wao sio wazuri sema wana elimu nzuri na wanachapa kazi hasa...mademu wa bar pale Kapiri Mposhi wanatema yai balaa...

Tatizo njaa kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…