Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

Wala hujakosea,wewe itakua malezi yako mazuri uliyapatia Mombasa.
Basi sawa, ila kaa ujitafakari, tunaweza kukulaumu wew ila kumbe siyo tatizo lako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee Hongera sana, umetufanya watu Wazima kuwa wagonjwa kwa story yako. Safi sana
 
Hongera sana ndg bongo man.Kwanza umeandika kwa kueleweka sana,umetupa burudani na mafunzo muhimu sana ktk kisa chako.Umepitia mitihani migumu sana ktk hiyo safari yako,kweli wanaume tumeumbiwa mateso kuhangaika.Kubwa zaidi bado uko salama,Mungu aendelee kukulinda,inshaallah.
 
Mkuu safari yote aujapata kipochi manyoya na wewe ukung'utiwe sisimizi
 
Back
Top Bottom