Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipo jukwaa la Lugha na ElimuWana jamvi ninasoma kitabu tajwa hapo juu:Baada ya muda nitaomba jukwaa la kujadili mapitio ya vitabu.Mpaka sasa nina mambo ambayo ningependa kuyajadili lakini ni vizuri tukapata jukwaa.Mnaonaje wa JF?
Asante sana,ngoja nitembelee huko.Lipo jukwaa la Lugha na Elimu
Wana jamvi ninasoma kitabu tajwa hapo juu:Baada ya muda nitaomba jukwaa la kujadili mapitio ya vitabu.Mpaka sasa nina mambo ambayo ningependa kuyajadili lakini ni vizuri tukapata jukwaa.Mnaonaje wa JF?
Soma ujifunze historia ya ukweli sio ile aliyotukaririsha Nyerere ya uongo na kweli!

Ndio maana niliomba jukwaa la mapitio ya vitabu kwani tayarri wachangiaji wanapatikana.Nikijaaliwa nitakimaliza wiki ijayo na hapo nitatoa mchango wangu.Abdul Wahed Sykes ndie Baba mzazi wa Taifa hili... Nyerere ni Baba mlezi tu. bila Mzee Mwapachu kumkuta akiuza Duka Tabora na kumpa kimemo aje nacho Dar kisha ampe Baba Mzazi wa taifa hili sidhani kama tungemjuwa Nyerere.