Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes

Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Wana jamvi ninasoma kitabu tajwa hapo juu:Baada ya muda nitaomba jukwaa la kujadili mapitio ya vitabu.Mpaka sasa nina mambo ambayo ningependa kuyajadili lakini ni vizuri tukapata jukwaa.Mnaonaje wa JF?
 
Lipo jukwaa la Lugha na Elimu
 
Wana jamvi ninasoma kitabu tajwa hapo juu:Baada ya muda nitaomba jukwaa la kujadili mapitio ya vitabu.Mpaka sasa nina mambo ambayo ningependa kuyajadili lakini ni vizuri tukapata jukwaa.Mnaonaje wa JF?

Soma ujifunze historia ya ukweli sio ile aliyotukaririsha Nyerere ya uongo na kweli!
 
Wana jamvi ninasoma kitabu tajwa hapo juu:Baada ya muda nitaomba jukwaa la kujadili mapitio ya vitabu.Mpaka sasa nina mambo ambayo ningependa kuyajadili lakini ni vizuri tukapata jukwaa.Mnaonaje wa JF?

Abdul Wahed Sykes ndie Baba mzazi wa Taifa hili...

Nyerere ni Baba mlezi tu.

bila Mzee Mwapachu kumkuta akiuza Duka Tabora na kumpa kimemo aje nacho Dar kisha ampe Baba Mzazi wa taifa hili sidhani kama tungemjuwa Nyerere.
 
Abdul Wahed Sykes ndie Baba mzazi wa Taifa hili... Nyerere ni Baba mlezi tu. bila Mzee Mwapachu kumkuta akiuza Duka Tabora na kumpa kimemo aje nacho Dar kisha ampe Baba Mzazi wa taifa hili sidhani kama tungemjuwa Nyerere.
Ndio maana niliomba jukwaa la mapitio ya vitabu kwani tayarri wachangiaji wanapatikana.Nikijaaliwa nitakimaliza wiki ijayo na hapo nitatoa mchango wangu.
 
Back
Top Bottom