Maisha ndo haya haya, tuache majivuno

Hapo kwenye kumpa mchongo umeupiga mwingi.....tahadhari inawezekana unataka ulipize Yan umnyooshe🤭
 
Nakuona unataka ku fall tena kwa huyo narcissist. Let him learn the lessons he is supposed to learn so he won't hurt someone else.
 
Sawa ujumbe umefika lakini isiwe sababu ya kuombea na mabaya. Kuna mwamba ni tajiri mkubwa lakini ana roho mbaya hatari na ni tajiri toka enzi za Mwinyi mpaka leo.
 
Nilimpenda kwa dhati ndo mana nikavumilia dharau zake kwa miaka 3.
Sawa it's called a "Move on" kama hisia zimeshakata juu yake msahau kabisa au abaki kama rafiki ili uishi kwa amani. Keep talking negative about him implies that you still have some grudges over him.
Dunia ni kubwa na ina mambo mengi sana especially kwenye ulimwengu wa kimapenzi. Itategemea wewe upo tayari kuishi katika mambo gani miongoni mwa hayo mambo mengi. Karibu 🤝
 
Safi mdada,Kisasi si juu yetu,tumwachie Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…