Maisha ndo haya haya, tuache majivuno

Pamoja na yote Roby ana nafasi kubwa sana hapo moyoni na ana nafasi ya kukutumia tena kama daraja kabla hajafanikiwa na kukudampu ili aendelee na life yake
Kama ataona hii fursa atakuwa amepatia sana
 
mhn!
jaribu kumtafuta ikiwezekana mtoe kwa nyama choma kisha ongea naye polepole.
onyesha njia ya kumsamehe kisha kuwa naye katika changamoto zake.
ikiwezekana mweleze pia katika mafanikio yako unathamini mchango wake kwakuwa alipokudharau alikusaidia kwa wewe kufanya kazi na kutafuta kwa bidii hivyo upo mchango wake kwa mafanikio yako hata kama hauonekani moja kwa moja.
mwambie uko tayari kumsaidia kwa kile unachofikiri unaweza kama atakuwa tayari kwa kuwa bado anasehemu yako katika moyo wako! japo inawezekana haiwezi kuwa kama mwanzo ila mnaweza kufanya kwa umbali fulani ambao hauwezi kuzidi mbio za sakafuni kwakuwa unayo pia sehemu ya uchungu juu yake!
 
Bado unampenda wewe.Mtafute mwana myajenge
 
mfano ungepewa taarifa kuwa amenunua mabasi au anajenga ghorofa

sometimes tuchukulie poa ,unadhani kwa kipind ulichokuw nae hakuwah kuwa moja ya furaha yako???

halafu sisi wanawake ndo tunaishiwa,mwanaume hajawah kuishiwa anakwama tu,mwanaume ni kichwa cha dunia labda aamue kuwa mjinga mjinga
 
Mwanaume aliehai hachekwi kisa Hana pesa kwawakati huo maana siku na saa yoyote anatusua. Kunamwamba anapesa aliwahi niambia Nzagambaa Mimi naweza kuhonga Mali zangu zote,lakini Baada ya miaaka miwili nishapata zingine za kutosha njia ya kuzitafuta naifahamu.
 
Daa labda mke wake anatombesha sana Whatsapp ndomana kapigwa ban
 
Mbona kama vile bado unampenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…