Maisha ndo haya haya, tuache majivuno

Maisha ndo haya haya, tuache majivuno

Leo nimepokea kwa masikitiko habari za kufulia kwa mkaka niliyewahi kuwa nae kwenye uhusiano kwa mda wa miaka 3. Nasikia amefulia ameuza kila alichokua nacho amebaki na komwe lake tu. Huyu kaka alininyanyasa sana kipindi ana vijipesa mi nikiwa kajamba nani. Alininyanyasa kisaikolojia kuna baadhi ya vitu nikikumbuka hadi leo nakua mnyonge.

Kuna siku nilimnunulia zawadi akaniuliza bei ya zawadi nilivyomwambia bei yake akanijibu i dont use cheap things keep it for yourself 🥲

Siku anaachana na mimi akaniambia relationship yetu illkuwa just for fun nothing was serious and it wasnt even a relationship it was a situationship 🥲 kumbuka hapo wakati anaongea haya tulikuwa pamoja kwa miaka 3. Halafu akaongeza nimekua nakuonesha signs zote za kutotaka kuendelea kuwa nawe lakini bado ukaendelea kuniganda. Naomba kuanzia leo usinitafute kwa namna yoyote ile its over!!

Katika maisha yangu yote hakuna kipindi moyo uliniuma kama siku ambayo alinitamkia maneno haya. Mungu si asumani sasa ivi amepigika maisha yanamnyoosha tu. Licha ya mambo yote aliyonifanyia nimesikitika sana. Mwanga wa Mungu umuangazie arudi katika hali yake ya zamani. Tuweni humble jamani maisha ndo haya haya tuache kudharau watu katika maisha haijalishi ni maisha ya kimapenzi au kikazi , hakuna mtu anayeijua kesho yake.

NB: Roby nitafute nikupe mchongo mi sina roho mbaya kama yako!
Dada kama hujaolewa mie nipo tayari kutoa ngombe 30 nikuwowe
 
Nakuja inbox mamilooo
 
Sasa unadhani huu ujumbe ulioupost hapa huyo Ex wako utamfikia? Kama kweli una nia ya kumsaidia kwanini usimtafute ili umsaidie, siku zote baya halilipwi kwa baya. kama una nia ya kumvusha hebu nenda kamasaidie achana na hizi porojo kwani yeye sio mtu wa kwanza kuanguka katika maisha.
Lazima atakuwepo umu na ujumbe atakua ameupata
 
kuna mwamba alikua na maokoto akatesa sana manzi aliekua anaish nae mixa kumuingiza kwenye madeni ya vicoba alipie starehe zake na pisi zake mjini lilivokua fala kumbe lime resign kazi likahama na mkoa kimyakimya likamuacha dada watu anadaiwa kodi ya nyumba vikoba nk kufika dar likadhulumiwa kila kitu na kadhi lili resign kwa mbwembwe ikabidi lirudi kwa wazaz hata nauli ya kwenda town hakuna full kuwakwepa wana maana wanajua alivyokua akimtenda dada wa watu enz za masubaru saiv mia saba ya eicher mtihani.
halafu yule mwanamke kule mkoani kajipata na biashara zake hana maden tena kama zaman
 
Umeandika kitu kikubwa sana , huyu dada kafurahi sana ndio maana kapata nguvu za kuandika huku, huyo mwamba ni fighter atasimama tena, sipendi anguko la yeyote hata adui yangu
Sasa adui anakuwaje a
Wee demu mnafki tu unaona raha mchizi kushuka kimaisha afu eti unasema Mwanga wa Mungu umuangazie.

Skia huyo mchizi mpe muda Tu utafrahi na shoo.
oya mbona mnalazimisha Manzi kufurahi? Kuna mahali amesema kafurahi?
 
Back
Top Bottom