DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Maisha siku zote ni mfano wa Mashindano na sio kila anayeshiriki anahitaji Ubingwa au taji Kuna timu zinashiriki ili tu zisishuke Daraja. na hizi timu ndo nyingi Sana (WATU).
Hivyo Kama mtu una kusuduio lako unalohitaji kulitimiza hapa Duniani na kushinda taji hili Muhimu linaloitwa MAISHA basi , usiogope kuitwa BAHILI. Au kuchukuliwa poa na WATU for granted .
Mara nyingi Mtu anayekucheka shambani ndo huyo huyo atakuomba CHAKULA wakati wa njaa.