Maisha siku zote ni mfano wa Mashindano na sio kila anayeshiriki anahitaji Ubingwa au taji Kuna timu zinashiriki ili tu zisishuke Daraja. na hizi timu ndo nyingi Sana (WATU).
Hivyo Kama mtu mwenye purpose yako unayohitaji kuitimiza hapa Duniani na kushinda taji hili Muhimu linaloitwa MAISHA usiogope kuitwa BAHILI. Au kuchukuliwa poa for granted .
Mara nyingi Mtu anayekucheka shambani ndo huyo huyo atakuomba CHAKULA wakati wa njaa.
Stay positive .
By Hustle smarter.