SoC04 Maisha ni safari kadri unavyosimama sana vituo visivyo vyako ndivyo unavyojiongezea kuchelewa kufika

SoC04 Maisha ni safari kadri unavyosimama sana vituo visivyo vyako ndivyo unavyojiongezea kuchelewa kufika

Tanzania Tuitakayo competition threads

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
UKIANZA KUFANYA MAMBO KUKIMBIZANA NA UMRI JUA KUNA KITUO SIO CHAKO ULISIMAMA SANA

Akitokea mtu anakwambia alimaliza shule ya msingi na miaka 20 jambo la haraka ambalo kama usipomuuliza basi utajiuliza ni hili "KIPI KILIMCHELEWESHA?

MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO UNAVYOJIONGEZEA KUCHELEWA KUFIKA.

Huwezi kukwepa kusimama njiani kwa sababu kuna muda utasimamishwa na uhalisia wa maisha ila kibaya zaidi ni kujisimamisha mwenyewe kituo kimoja kwa muda mrefu ilihali bado una safari ndefu mbele.

SEHEMU ULIYOSIMAMA SANA NDIO LEO HII INAFANYA WATU WAKUONE UMECHELEWA

Ukianza biashara baada ya kustaafu watakwambia ulikuwa wapi kipindi upo kazini?

Wanakuona umechelewa kwa kanuni hii UMRI WAKO+ NAFASI ULIYOKUWA NAYO NA MAFANIKIO ULIYONAYO SASA.

Sio vibaya kuangalia umri wako na kisha jikimbushe kuwa kuna vituo hutakiwi kusimama sana kwani bado una safari kubwa.

Mwanasayansi Saul kalivubha
fikia ndoto zako
0652 134707
 
Upvote 1
MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO UNAVYOJIONGEZEA KUCHELEWA KUFIKA.
Mmmmh sasa mwanasayansii, nina swali kiasi. Maisha ni safari. Safari iso na mwisho. Sasa kuna haja gani ya kukimbiakimbia wakati haina mwisho? Au we unaamini kuwa inao mwisho?
Tujuze
 
Mmmmh sasa mwanasayansii, nina swali kiasi. Maisha ni safari. Safari iso na mwisho. Sasa kuna haja gani ya kukimbiakimbia wakati haina mwisho? Au we unaamini kuwa inao mwisho?
Tujuze
Mwisho wa safari ni kifo 😊 ila kuna haja ya kufanya mambo kulingana na ukomo wa umri kwa mfano nguvu ukiwa kijana na mzee ni tofauti hivyo ni vizuri ujana utumie vyema kuwekeza kwani kuna uwezekano mkubwa ulichoshndwa kukifanya ukiwa kijana utashindwa tena ukiwa mzee
 
Back
Top Bottom