Maisha ni safari, usikate tamaa

Maisha ni safari, usikate tamaa

[mention]Ochumeraa [/mention]
 
Unataka iwaje mkuu
😂😂
ili labda unielewe angalia features za hii amplifier yamaha rx v685

Nb, nimeshindwa kopi maelezo yote "Amazon.com: Yamaha RX-V685 7.2-Channel AV Receiver with MusicCast : Electronics" Amazon product ASIN B07BZZCHGN
  • Unrivaled experiences; Boldly explores entertainment possibilities for an advanced home theater with the latest in video and Audio, including Dolby Atmos, DTS: X, Wireless streaming, dual HDMI outputs and more
  • Wi-Fi, Bluetooth, airplay 2, Spotify connect and music cast multi-room
  • Spotify, Apple Music via airplay 2, Pandora, Sirius internet radio, Tidal, Deezer, Napster, Qobuz and more
  • 4K Ultra HD, HDR10, Dolby vision, hybrid log-gamma and BT.2020 HDMI (5-in/2-out) with HDCP 2.3 and eARC
  • Voice control using your Alexa device like echo or echo dot
  • Music cast multi-room: Wirelessly expand your Audio to other rooms over time
  • Music cast surround-capable: Add 2 music cast 20 speakers to provide wireless surround sound for a 5.1-Channel or 5.1; 2-Channel setup

31iWjWgmtGL._AC_SY1000_.jpg
 
[emoji23][emoji23]

View attachment 2160607

Hi nnaijua
Nliwah kuiona moja ilizingua
Na ni ghalama sana
 
Nitumie mfano harisi kwenye maisha yangu mwenyewe,

Hi ikupe mwanga wewe kuendelea kupigana kwenye hicho unachokifanya.

Tangia mdogo nlipenda sana mambo ya ufundi,hasa umeme na electonics kiujumla. Hata nyuzi zangu humu zimejikita zaidi kwenye mambo hayo.

Pengine nlikosa ada yakusomea mambo ya electronics au sifa za kujiunga na vyuo kupata elimu hiyo.
Ila kwakua nlikua na NIA thabiti nliendelea kujifunza kupitia smartphone yangu ya kipindi hicho(vodaphone).

Nlipenda sana mambo ya audio amplifiers,Nikapewa ushauri na baadhi ya watu kua niende ofisi moja iringa (jina kapuni) nkaombe kujitolea huku nikijifunza zaidi Walinikatalia!!

Hivyo kama wangenikubalia basi ingekua nikitoka chuo,basi nipite hapo kufanya kazi kadhaa jioni hadi walau saa3,4.

Hapo ndipo nlipoamua kutumia simu yangu kusoma na kutumia pesa kidogo (niliyopewa kama nauli na kula chuo) kununua components na kuanza kuunda circuits au Ramani za electonics (amplifiers)

Hivyo nilinunua vero board moja [emoji1369][emoji1369]na soldiering gun na soldering waya kiasi ya kuanzia.

Nlianza kuunda ramani ndogo bila ya mafanikio yoyote yale.

Zaidi ya yote nilikula hasara sana sababu ya makosa kadhaa ya ugeni wa kujifunza,

Nliharibu vitu kadhaa ikiwepo laptop yangu Samsung (NP300e5z) iPhone 3g yangu ya kwanza ndio ilitoa moshi mbele yangu [emoji28]

Yani una test mziki kama unapiga fresh kumbe waya wa umeme umegusana na ule wa kuleta mziki kutoka kwenye simu.

Na kwasababu sikua na fedha hi ilinibidi kusubiri hadi niwekeze tena fedha walau ifike 2000 nkanunue ic tena yakufanyia majaribio.

Kumbuka ic hizi nlikua nanunua palepale ambapo walinikatalia kwenda.

Kadri siku zilivyosogea nilizidi kujaribu na kuona matokeo + kwenye projects zangu.

Na kwa kudra za mungu nilianza kuletewa kazi kadhaa hapohapo nyumbani.

Hivyo nikitengeneza nikilipwa basi fedha hiyo naipeleka tena kununua components tena nyingine na nyingine.

Kwa upekee sana nashukuru mungu nlikuja kufahamu wapi nilikua naenda kinyume.

Na hapo ndio nkawa nmeweza kutengeneza circuits yangu ya kwanza.

[emoji1369] hi ilifanya kazi vizuri bila shida. Hivyo nkaendelea zaidi na zaidi hadi hapa nilipo. Japo nlikua siweki umeme mwingi(kadri ramani inavyoingiza umeme mwingi basi ndivyo inavyokua na nguvu

Hapa nikawa nimesha anza kuelewa kwa kiasi kipana.

Lakini hazikua kubwa sana

Hi mfano wa hizi subwoofer zitumikazo nyumbani.

Kwa baadae nikaanza zenye watts nyingi kwa matumizi makubwa.

Hi ni moja kati ya nilizofanya hiv karibuni

Na hii ni most powered sababu inatumia umeme mwingi
Na pengine una redio yako imekufa labda na ulipenda irudi
Inasukiwa amplifier kisha inawekwa humo ndani na redio yako itarud kwenye hari yake

[emoji1369]hapa tayari inafanya kazi. Siku moja nilipigiwa simu na mmiliki wa ile ofisi akinitaka nifike ofisini kwake,
Kidogo alistaajabu. Kama ni mimi. Alitaka nmfanyievkazi moja ,nikamwambia sawa ila kwa ghalama hizi’akaridhia akanilipa(pata kitu hapa) Niliendelea na naendelea kujifunza kila siku na kila wakati

Sababu inahitaji ghlama kubwa kulinda kile ulichonacho na kukiongezea thamani.

Siku zote Nataman nipate watu wa5 kwenye life yime yangu niwafundishewafikie hapo!

Shida ni kua wengi wao wanataka kutengeneza kile nlichofanya. Mwingine akisikiliza mziki wangu anataka kutengeneza kama mimi.

Mimi nataka mtu mwenye nia binafsi Aamue yeye binafsi. Ajitoe kwenye kujifunza

Sababu mimi nitakupa 1/10tu vingine utatakiwa kujifunza wew mwenyewe.

Keep it fighting. Until umefikia highest point kwenye maisha yako.

Ikiwa hujui unapoend , popote ulipo ni sawa
Hongera sana kwa ulipofika, barikiwa sana kwa kutaka wengine wafanikiwe.

NB: Jifunze matumizi ya R na L.

All the best!
 
Kuna mtu humu alianfika umeneme mdogo hauna hela. Imeme mkubwa una hela.
Hibi ku troubkeshoot transgormer ya kiwanda na transformer ya redio nani anapiga hela ndefu.
Nimesema hivi kwa sababu, unaweza kuwa unapoteza mda kwa kujifurahisha ila kimaisha unapiga hatua ndogo sana.
Halafu amplifier za mtaami wateja ni skina nani? Je ni biashara inayofaa kuwashawishi vijana wakajikwamue.
Kwa jinsi ulivyosoma soma je unauwezo wa kufanya AC na DC analysis of amplifier ? au umejifunza kuunga kuunga component tu ?
Unaweza kutumia kwa ukamilifu circuits analysis tools software(Multism) na hardware, mfano functional generator, oscilloscope,signal detector nk
Naomba niwashauri tu kama mmeingia kwemye ma hardware msome sana na mjifunze hardware programming languages ili msiwe wababaishaji.
Sina nia mbaya ya kubeza jitihada binafsi.
 
Kuna baadhi ya sehemu sijakuelewa
Kuna baadhi ya sehemu nmekuelewa
Ahsante mkuu...mawazo mazuri
 
Hongera noah

Back
Top Bottom