Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #261
The big foolishness is to feel your life is incomplete, because of the absence of someone 🙏🙏I cant believe that i’m fool again,i thought this love will never end….
Uzi huu nime uandika ili uwe Kama kengele ya ukumbusho, kwa kila mmoja wetu.
[emoji117]Maana kumezuka na Mambo ambayo yame kuwa Kama kikwazo, kwa baadhi ya watu katika safari ya maisha yao.
WIVU, kila mmoja wetu ana wivu katika maisha yake.
[emoji117]Ila baadhi ya wengi wetu tumekuwa na wivu ambao si rafiki katika maisha haya.
[emoji117]Ume ona mtu kajenga au ana kazi nzuri kukuzidi, mzee Pambana ufikie Malengo yako, jiuluze yeye kafikaje hapo??. Zidisha juhudi na SI uchawi na husda.
SUALA LA MAPENZI, hapa ndo kama wabongo wengi tulipo rogwa, Kama Kijana una mengi ya kuzingatia katika maisha yako.
[emoji117]USI kubali kuyumbishwa au kupoteza muda wako, eti kisa kiumbe mwenye manyoya mwili mzima.
[emoji117]Kama uhusiano huo si rafiki basi achana nao mzee, Kumbuka una mengi na watu wengi Wana kutegemea wewe mpendwa.
AMINI KATIKA WAKATI SAHIHI, ndugu haya maisha Kuna watu tuna jipa stress za kipuuzi Sana.
[emoji117]Eti kisa fulani ana kazi au maisha mazuri, una Anza kuji ona wewe kama bwege uliye kosa mwelekeo.
[emoji117]Ina kupasa uzingatie katika barabara yako, na si njia ya mwingine.
[emoji117]Kama biashara haiendi vizuri, basi Tafuta namna ya kutafuta wateja, kwa maana Hakuna kitu kina kuwa kwa usiku mmoja.
-learn how to hold
-learn the right time to fold
-learn the right time to let go.
[emoji117] I MEAN NO MALICE TO NOBODY
View attachment 2760528
Yeah mi ni jobless wa kutupwa, namaanisha our level of thinking.si unasemaga wewe ni maskini wa kutupwa😂
tuko kwenye ligi moja
Nakubali Kaka🙏You've got to know when to hold 'em
Know when to fold 'em
Know when to walk away
And know when to run
You never count your money
When you're sittin' at the table
There'll be time enough for countin'
When the dealin's done
Huna baya 🤣Kama hakitabakia huko ni sawa tu 😂
Mwenyewe nimemkwapua mtu kwahiyo nikikwapuliwa hakuna noma 😂Huna baya 🤣
huduma ipo kwa kila mtandao fuatiliaMzee leta evidence mtoa Huduma gani, ana toa gb30 kwa 30 k
👉au una leta story za kuchangamana genge🤔
Ndo ile gb 10 kwa 30 k 🤔, alafu uki taka Huduma, mizungusho kibaohuduma ipo kwa kila mtandao fuatilia
nakwambia gb30+ hapo utaitajika uwe na TIN ya biashara ili kutambulika kama mfanya bishara ili kupata huduma hiyoNdo ile gb 10 kwa 30 k 🤔, alafu uki taka Huduma, mizungusho kibao
🤣🤣🤣Mwenyewe nimemkwapua mtu kwahiyo nikikwapuliwa hakuna noma 😂
Ndio hivyo mi sinaga choyo na wadau 😂🤣🤣🤣
Malipo ni hapa hapa duniani
Naona unaaga mkuu,, why??
Nimei_screenshot kabisa hii ikae kwenye simu kila mara niwe naipitiaNawakumbusha pia kuwa wenye nidhamu na juhudi katika kila jambo unalo lifanya kama kijana.
Kupenda starehe zisizo za lazima, zinaa na ulevi pia ni chanzo kikubwa cha kukwamwisha mafanikio.
iam taking a break, tuna mengi ya kuzingatia.Naona unaaga mkuu,, why??
Nadhani ni muda wako wa kushare maarifa, nyuzi zako tuna zitaka🙏Nakubalina na hoja zako mkuu intelligent businessman uko very clear.......everybody has it's own destiny...... kujifananisha na wengine ni ushamba na kukosa self awareness,,, never, never ever compare yourself with other.
Tunza kibunda chako.
Ina paswa ikae katika ufahamu wako wa Akili, ni vile Kuna vitu Ume vipa vipaumbele katika Akili yako🙏Nimei_screenshot kabisa hii ikae kwenye simu kila mara niwe naipitia