Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Kweli hapo sikaziiiNiuongo usikazieš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hapo sikaziiiNiuongo usikazieš¤£
I mean no malice to nobody [emoji120][emoji123]
Wana kupotezaš¤£šKweli hapo sikaziii
Nusu albino šš¤£Niuongo usikazieš¤£
wewe nimekuliza una TIN ukajibu ndio sasa unanunua vipi GB kwa 2500 wewe kichwa yako imelala.. alafu namna hii hutaweza kuishi na wazee nama hutaki kuliza wewe unashikilia gb2500 wakati wenzako wamewekwa kwenye mfumo wana chanja mbuga kwa 30k kwa mwezi gb sijui 30+..na wanafanya miamala ya simu kwa lipa namba kwa makato sawa nabure kabisa..hapo sijazungumzia habari ya Building a Better Tomorrow-YOUTH INITIATIVE FORAGRIBUSINESS (BBT-YIA) huko vijana ndio wanagaragara kwenye pesa sasaDah mzee it seems, we SI level yangu katika ufikiriaji(uko nyuma Sana).
š Teknolojia Ina kuwa kwa Kasi Sana, vijana wata jiajiri vipi au kutafuta maarifa ikiwa internet iko juu??.
šVijana Wana miliki channel za online, ila ndo hivyo nako mmepiga Pini aiseeš¤.
šGb moja una nunua kwa 2500, halafu still Kuna maeneo internet haina Kasi?
šMme shindwa kuifanya ttcl I we competitive, ikiwa Ina minara kabisaš¤
Wengi mna zingua, tuanze wewe na mama jšApo kwny mahusiano,ungekazia zaidi[emoji4]
kazi kwelikweliusipoteze mda wako kubishana na rika balehe mzee wangu
30 k kwa gb 30, mtandao upi huoš¤.wewe nimekuliza una TIN ukajibu ndio sasa unanunua vipi GB kwa 2500 wewe kichwa yako imelala.. alafu namna hii hutaweza kuishi na wazee nama hutaki kuliza wewe unashikilia gb2500 wakati wenzako wamewekwa kwenye mfumo wana chanja mbuga kwa 30k kwa mwezi gb sijui 30+..na wanafanya miamala ya simu kwa lipa namba kwa makato sawa nabure kabisa..hapo sijazungumzia habari ya Building a Better Tomorrow-YOUTH INITIATIVE FORAGRIBUSINESS (BBT-YIA) huko vijana ndio wanagaragara kwenye pesa sasa
Huwa una hangaika Sana, but we are not on the same league.usipoteze mda wako kubishana na rika balehe mzee wangu
Ha ha ha .,...ndo maisha tulozoea mkuu[emoji4]Wengi mna zingua, tuanze wewe na mama j[emoji3]
Baki njia kuu, japo kutazama chaneli moja Ina choshašš¤£Ha ha ha .,...ndo maisha tulozoea mkuu[emoji4]
hili nalo ni jipya kwako30 k kwa gb 30, mtandao upi huoš¤.
šLet's talk with evidence, sio porojo
Mzee leta evidence mtoa Huduma gani, ana toa gb30 kwa 30 khili nalo ni jipya kwako
Ndio maana nakukubali sana šKweli hapo sikaziii
Asante kwa kuli tambua Hilošš, tuzingatie yaliyo muhimu kwetuUmetema nondo Kaka,wacha niishi nazo.
Kama hakitabakia huko ni sawa tu šAtaenda kulala kwa wengine ohoo