Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Ume Nena sahihi KakaπŸ™πŸ™πŸ’ͺ
Waswahili wa kukufuatilia unafanya kazi gani?!..., unakaa wapi?!.., na umeoa au hujaoa wanatoka wapi ukijikalia zako sehemu za wastaarabu?! Kijana ukijitambua mambo yakianza kutiki na uki-maintain hamia mbezi chini huko, kawe B, Msasani kule mbele au nenda zako Upanga kajichimbie.

Uswazi wanaanza kidogokidogo, mara vibomu, mara ukipita uwanunulie soda, mara uwachangie hiki mara kile, mara unaringa husalimii na vichuki vya hapa na pale...., mwisho ukiamka asubuhi una chale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Juzi nili enda kununua nguo na Jamaa fulani wa mtaa wetu, Sasa hivi mtaa mzima una juaπŸ˜€πŸ€£.
πŸ‘‰Mpaka Bei tuliyo nunulia aisee, namsubiri nimchane aache umama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…