Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Waswahili wa kukufuatilia unafanya kazi gani?!..., unakaa wapi?!.., na umeoa au hujaoa wanatoka wapi ukijikalia zako sehemu za wastaarabu?! Kijana ukijitambua mambo yakianza kutiki na uki-maintain hamia mbezi chini huko, kawe B, Msasani kule mbele au nenda zako Upanga kajichimbie.Ume Nena sahihi Kaka๐๐๐ช
Uswazi wanaanza kidogokidogo, mara vibomu, mara ukipita uwanunulie soda, mara uwachangie hiki mara kile, mara unaringa husalimii na vichuki vya hapa na pale...., mwisho ukiamka asubuhi una chale ๐๐๐๐๐พ