Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Ume Nena sahihi Kaka๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ’ช
Waswahili wa kukufuatilia unafanya kazi gani?!..., unakaa wapi?!.., na umeoa au hujaoa wanatoka wapi ukijikalia zako sehemu za wastaarabu?! Kijana ukijitambua mambo yakianza kutiki na uki-maintain hamia mbezi chini huko, kawe B, Msasani kule mbele au nenda zako Upanga kajichimbie.

Uswazi wanaanza kidogokidogo, mara vibomu, mara ukipita uwanunulie soda, mara uwachangie hiki mara kile, mara unaringa husalimii na vichuki vya hapa na pale...., mwisho ukiamka asubuhi una chale ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Waswahili wa kukufuatilia unafanya kazi gani?!..., unakaa wapi?!.., na umeoa au hujaoa wanatoka wapi ukijikalia zako sehemu za wastaarabu?! Kijana ukijitambua mambi yakianza kutiki na uki-maintain hamia mbezi chini huko, kawe B, Msasani kule mbele au nenda zako Upanga kajichimbie.

Uswazi wanaanza kidogokidogo, mara vibomu, mara ukipita uwanunulie soda, mara uwachangie hiki mara kile, mara unaringa husalimii na vichuki vya hapa na pale...., mwisho ukiamka asubuhi una chale ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
Juzi nili enda kununua nguo na Jamaa fulani wa mtaa wetu, Sasa hivi mtaa mzima una jua๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ.
๐Ÿ‘‰Mpaka Bei tuliyo nunulia aisee, namsubiri nimchane aache umama
 
Wewe nae hujui Upendo ๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
Leo Nita ota๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ
FB_IMG_16953978929164925.jpg
 
Back
Top Bottom