Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Juzi nili enda kununua nguo na Jamaa fulani wa mtaa wetu, Sasa hivi mtaa mzima una jua😀🤣.
👉Mpaka Bei tuliyo nunulia aisee, namsubiri nimchane aache umama
Usimwambie kitu... hama unapoishi haraka na namba za watu wasio na issue zi-block wasione contents zako muhimu kama WhatsApp stories n.k wala usizifute ila baki nazo wakikupigia simu usipokee na uwe na simu zaidi ya moja... namba za watu productive na nyingine za mahohehahe wenzangu wasioisha maneno, umbea na kufuatilia watu na visivyo na faida maishani mwao.
 
Nime kusoma hapo Kaka🙏🙏, Barikiwa Sana💪
 
Back
Top Bottom