Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Yani huu ni uwazi usiopingika kina masoud mmeongozwa na Ile kitu mtaonekana wabaguzi yani mmempa ushindi mkenya sababu hiyo hiyo tu

Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi

Yani shindano lipo kwenye aridhi yetu na Kijana wetu kaonyesha kabisa anaweza ila hisia tu zimewaongoza mmempa ushindi mkenya

Kiukweli mmeboa
 
Leo tumeshuhudia kilichtke maisha plus mkenya kaondka na M 30 zake kiulainiiiiiiih
Tatzo linakuja hapa baada ya mchujo kupita then kuna kitu kinaitwa kupiga kura mwisho wa siku nchi jirani lazima washinde kwasababu ya upigaji wa kura
Kumbuka kwa Tz kuna washiriki wa kila mkoa so kila mkoa watajaribu kumpigia kura mtu wao ninachomaanisha kura zinagawanyika kila mtu kutokana na kundi lake
Kwa nchi za jirani lazima washinde kwa kigezo kua nchi nzima wanahimizana kumpigia kura mtu mmoja ama wawili wanaowakilisha nchi yao
Labda kama kuna mtu wakuniproce wrong aje lakn kwa namna hii hatutofka mbali na ukizingatia kura hazina limitation

GERANT LE GERANTEEH
 
Kura hamjapiga mnalalamika humu kama mngekua mnafatilia kuanzia Mwanzo wakenya walijituma sana wao walikuja na ushindi akilini a the way waliishi walionekana kabisa wanasaka ushindi Watanzania maisha ya kuigiza yalikua yamezidi.
 
Andaa lako then mpe mbongo. Yaani wabongo tunapenda kupendelewa tu. Haya mashindano yanahitaji ujanja tu kushinda.
Ila nyie mkishinda huko nchi za watu wengine mbona mnajisifu mngeoenda na wao wawape watu wa kwao? Mmeshinda BBA Mara 2 but wasouth hawajalia kabisa.
 
Kenya waliandaa TPF hakuna mbongo aliyewahi gusa!!
Vitu vingine kama taifa tunajipa pande wenyewe tuu
 
Asew yulw aloyce from dodoma alikuwa anastahili kabisa kuibuka mshindi sasa sijui ndo gender balance au dhana potofu ya kuwa wataonekana wanaupendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…