Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Wabongo ndio hatuna maana sasa wamempaje mkenya na wangempa mbongo hata angesukuma gurudum la maendeleo kwa kulipa kodi na kusiadia taifa!!
Na usawa wa magufuli huu wangekuwa wamefanya la maana

Huo ni ubinafsi wa hali ya juu..

Afrika ni moja ila mipaka na tawala zetu ndio zinazo tutenganisha brother.
 
Mshindi ana sifa zote labda kama ulikua hufuatilii...ameonyesha uwezo wa hali ya juu sana...she is very intelligent..
Kama aliangalia saa 1 asbh leo alivyokua anaongea na waziri wa viwanda kupitia pale hata kama hukufuatilia hata siku moja Maisha Plus basi ungethibitisha ushindi wake...hongera sana mshindi
 
Daaah!!
Watanzania mnazidi kuniskitisha, hivi hupendi mbongo mwenzako angekuwa na milion 30!!!
Hivi hao wakenya unawajua au unawaskia!! Sasa subiri maneno yao watakayo toa ukipata time tembelea twitter ndio utajua kwa nn hakuna haja ya kuwapa
Ata TPF km unaifatilia unaona kabsa huyu anafaa na sio kisa ni mtz ndo lzm ashinde wakat haimbi vzr.
Back to Maisha + eti kisa ni mtz ndo lazima ashinde? Kwanza 2mependelewa washiriki robo 3 watz. Kura hatupigi lakin wa kwanza kulaumu. Mimi ata kura sijui wanapiga vipi na nilikua naangalia. Watz wangap wana king'amuz cha azam km sio majority wana star times ambayo hawajui km kuna maisha +. Sio kila kitu cha kuonewa tu
 
Sasa mtu apewe ushindi kisa tu ni mbongo. Kura hazjatosha
Daaah!!
Watanzania tuna safari ndefu, sasa
Hilo shindano nalo walipeke Kenya tuu.
Mi sijakubali, any way kwa kuwa mi sio muandaaji nawaachia wao.
 
Kenya waliandaa TPF hakuna mbongo aliyewahi gusa!!
Vitu vingine kama taifa tunajipa pande wenyewe tuu
mkuu hiyo tpf unayosema wabongo walikuwa hawashindi coz walikuwa wazembe na hawakuwa serious.
tpf hawakuwa na upendeleo hata kidogo bali ni juhud tu na hata hao wakenya walishinda msimu mmoja tu na misimu mingine yote walishinda waganda mara mbili, wanyarandwa na warundi.....acheni kulalamika wabongo na msipoangalia wakenya watawashinda kwenye kila kitu shubaaaamit
 
Endelea kubweka wakati hata kura hupigi..aliyestahili kachukua
 
Daaah!!
Watanzania mnazidi kuniskitisha, hivi hupendi mbongo mwenzako angekuwa na milion 30!!!
Hivi hao wakenya unawajua au unawaskia!! Sasa subiri maneno yao watakayo toa ukipata time tembelea twitter ndio utajua kwa nn hakuna haja ya kuwapa
Mimi hata sijui unasema nn bro nisaport wizi? si bora sasa show ingekua ya Watz pekee? Mtanzania mwenzangu kupata milion 30 sio hoja hoja ni je alideserve kupata hizo milioni 30? angekua kadhulumiwa ushindi sawa otherwise next time ni kukaza buti na kupiga kura
 
Kumbe Ni kugeana ??? Eti wamempa mkenya. Ingekuwa kila nchi ambayo inaanda shindano au tunzo inampa wa kwao nadhani kila kusingekuwa hata na Olympics
M naimani wamefata kanuni lakn kwa suala la kupiga kura kila siku watachkua wengne sisi tubabaki kugwaya gwaya kanuni mpya za mashindano zinahitajika kwa kweli kama wanachkua na wakeny wachkue wa mikoa yote ya kenya na uganda the same
 
Hii maisha plus ni netball au volleyball??

Kama ni Volleyball, wakenya wako juu sana. Wanaumudu huu mchezo kama wanawake wa kikenya wanavyomudu kuwatwanga waume zao.
 
mkuu hiyo tpf unayosema wabongo walikuwa hawashindi coz walikuwa wazembe na hawakuwa serious.
tpf hawakuwa na upendeleo hata kidogo bali ni juhud tu na hata hao wakenya walishinda msimu mmoja tu na misimu mingine yote walishinda waganda mara mbili, wanyarandwa na warundi.....acheni kulalamika wabongo na msipoangalia wakenya watawashinda kwenye kila kitu shubaaaamit
Watz wengi wanaendaga kuuza sura tu ni wavivu wa kufikiri na kuwa creative tutabakia kushinda bigbrother tu sababu ndo tunaweza
 
Daaah!!
Watanzania tuna safari ndefu, sasa
Hilo shindano nalo walipeke Kenya tuu.
Mi sijakubali, any way kwa kuwa mi sio muandaaji nawaachia wao.
Safari ya kulalamika kuonewa kila siku? . Inakua km eddy kenzo baada ya kukosa tuzo sasa.
Kwakwel Kenya ni majirani hapo kabisa mdada hajapendelewa. Next time upige kura[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
FB_IMG_1477860227820.jpg
MSHINDI WA MAISHA PLUS 2016
 
Hapana
Ana deserve top 3,
Ila ushindi tungempa mwenzetu kwa kweli mi sjapenda.
Msechu aliendaga Kenya akionekana ana stahili kabsa lakini hakushinda wenzetu wanajua kujipa flag.
*ni mimi lakin na mawazo yangu hayo sja furahia
Mshindi kutoka Uganda Davis alijinyakulia zaidi ya Tsh. 30,000,000/- huku akijipatia mkataba wa kurekodi Album na kampuni kubwa huko Afrika ya Kusini.

Mkuu aliyeshinda kwenye TUSKER PROJECT FAME sio Mkenya ni Mganda, Peter Msechu ndo nafasi ya pili kutoka Tz.
 
Wamempa mkenya!! Upuuuuuzi huo

Ukimaliza kumbagua jirani yako utaanza kubagua familia yako.

Napata shida sana ubuguzi huu, kwa sababu baadhi ya Watanzania tunataka kuwa na ubaguzi.

Mkenya, Mruhanda, Mganda, Mburundi na Mwafika kwa ujumla ni mtu mmoja ila tawala na mipaka ndio vinavyo tutenganisha.

Tukipendana Afrika Mazungu hayana chao trust me.

Sio Masoud mwenye maamuzi bali ni mpiga kura ndie mwenye mahamuzi.

Swali jepesi ulipiga kura? Na je kura yako ilienda kwa mtu sahihi mwenye vigezo?

Binafsi nimefatilia na nimeona ni kitendo cha haki kilicho fanyika.
 
Ata TPF km unaifatilia unaona kabsa huyu anafaa na sio kisa ni mtz ndo lzm ashinde wakat haimbi vzr.
Back to Maisha + eti kisa ni mtz ndo lazima ashinde? Kwanza 2mependelewa washiriki robo 3 watz. Kura hatupigi lakin wa kwanza kulaumu. Mimi ata kura sijui wanapiga vipi na nilikua naangalia. Watz wangap wana king'amuz cha azam km sio majority wana star times ambayo hawajui km kuna maisha +. Sio kila kitu cha kuonewa tu
mkuu hawa wanaosema tpf walikuwa wanashinda wakenya sidhan kama walikuwa wanaifuatilia.....ktk season zote Uganda ndio waliongoza kwa kuchukua mara nyingi tena kila aliyeshinda alikuwa anadeserve kabisa....ktk maisha plus mwaka huu wakenya wote walikuwa serious tena walijipanga kushinda sio watz maneno mengi tena nonsense....
 
Hapana
Ana deserve top 3,
Ila ushindi tungempa mwenzetu kwa kweli mi sjapenda.
Msechu aliendaga Kenya akionekana ana stahili kabsa lakini hakushinda wenzetu wanajua kujipa flag.
*ni mimi lakin na mawazo yangu hayo sja furahia
Mkuu acha uongo mbona kwenye hilo shindano alishinda mnyarwanda na mkenya akawa wa pilli?
 
Nyie mnao sema hatupigi kura mna uhakika!!?
Mnajua vigezo vya kumpata mshind kama ni kura tuu!!?
Je mshindi kapata kura ngapi!!?
Na mtz kapata kura ngapi!!?

Maana mi natoa povu hapa nna uhakika kura nilipiga
 
Back
Top Bottom