Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Hivi ni kapewa ushindi au kashinda? Anastahili acheni majungu
Watu wanasema ushindi ungebaki tanzania hata kama kura hazijatosha !mfano kule mwanza watu wamesema kapata sababu ya kuwa anatoka katika jiji yalipofayika mashindano bila kubadilika katika fikra tutabaki kubwabwaja tu na kama watu walitaka tushinde sisi ilikuwa haina maana ya kupanua wigo wa mashindano bado tuna safari ndefu ndugu yangu.
 
Sawa mkuu.
Huo ndo uzalendo wa kweli, ila kusiwe na upendeleo itaharibu mashindano.
Hilo la Yanga kufungwa na Simba haiwezekani kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Kama hukumuona mtz anaye stahili kushinda ndio nnao uita ugonjwa wa kupenda wageni huo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Imeniuma sana bro ujue
 
Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.

Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.

KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Maisha plus ilkuaga ileeeee ya msim wa kwnza wa akina abdul na msimu wa akina boniface. Ila hii iliyofuata cjui inaendeshwa vp

Mm nliachaga kuangalia maana ni ubabaishaj
 
so mkuu ww unataka mtanzania ashinde tu?
mi nadhan anayetakiwa kushinda ni yule anayestahili kutokana na vigezo walivyoweka waandaaji...awe mtz, mkenya au yeyote yule
Kama hukumuona mtz anaye stahili kushinda hiyo nayo ni shda nyingne
Na ndio nnacho kiongelea hiko kuwa tuna tatizo kama wabongo
 
Watu wanasema ushindi ungebaki tanzania hata kama kura hazijatosha !mfano kule mwanza watu wamesema kapata sababu ya kuwa anatoka katika jiji yalipofayika mashindano bila kubadilika katika fikra tutabaki kubwabwaja tu na kama watu walitaka tushinde sisi ilikuwa haina maana ya kupanua wigo wa mashindano bado tuna safari ndefu ndugu yangu.
Kwanza naamini kigezo hakikuwa kura tuu
Halafu wabongo tulikuwa wengi zaid kuliko wenzetu kwa hiyo kura ziligawanyika.
Kama hujawahi cheki shindano ndio unaweza sema kuwa kwa wabongo woote wakishndwa kumpita yule csta.
Generally, Mkenya kapewa na tungeweza kumpa hata mtz mwenzetu tuu ilifaa sana
 
Maisha plus ilkuaga ileeeee ya msim wa kwnza wa akina abdul na msimu wa akina boniface. Ila hii iliyofuata cjui inaendeshwa vp

Mm nliachaga kuangalia maana ni ubabaishaj
Nadhani hii ni biashara tu kama biashara nyingine
Show biz sasa wanavutia wateja wakenya
Thats pathetic!
 
Kwanza kabisa waliondaa hii program wana kila dalili ya utapeli.
Nimeshangaa sana kwa ambayo inaonekana ni very serious tv broadcasting kwa Tanzania kwa sasa inawezaje kukubali huu ujinga.
Wanachojaribu kukifanya ni kujitangaza by giving a kenyan as a winner. This is clearly bullshit! Wanataka next time wakija wako popular East Africa.
Masoud kipanya nitafute...just PM nikufundishe
 
Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.

Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.

KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Angeshinda mtanzania ingeonekana ni kupendelea na kusingekuwa na maana ya kuleta washiriki kutoka east Africa nzima.......so kuweka mambo sawa inabidi wampe ushindi mtu wa nje ya tanzania hata kama wa tanzania alikuwa vizuri ili kuwavutia washiriki wa nchi nyingine mbali na tz kushiriki kwa wingi.
 
Kama hukumuona mtz anaye stahili kushinda hiyo nayo ni shda nyingne
Na ndio nnacho kiongelea hiko kuwa tuna tatizo kama wabongo
mkuu kuna kitu umekikosea tangu mwanzo ktk argument yako nayo ni kudai kwamba mbongo ndio alistahili kushinda simply kwa sbabu ni mbongo, mi nadhan ulitakiwa kusema alistahili na alikuwa na vigezo vyote na ungetueleza ni kwanini unadhani kaonewa...lkn kuja hapa na kutuambia eti kuwa m bongo ndio kigezo cha ushindi ni big nooh....mara ooh wabongo hatupendani.
kama mnataka kujipa ushindi basi msishirikishe mataifa mengine....lile ni shindano bhana acheni fitina zenu....
 
Kuna kitu umekikosea toka mwanzo
Unafuatilia comment zangu tuu, soma za wengine utaona wanakutajia aliyetakiwa ashinde.

Pili hata wewe ambaye unaona ana stahili hujasema anastahili kwa lipi.

Tatu, mkiletwa wakenya sio lazima mchukue, na masoud kalazimisha kuwapa, na kamnyima mbongo mwenzie. Na kwa hilo niko radhi nibishane hata na mshindi mwenyewe mkiniletea na nasisitiza wabongo hatupendani.
Hongereni lakini
 
angebeba wapi wakenya wa binafsi acha ila masoud naye kuchola katuni Kote kule Kumbe naye hamna kitu
Wangempa dogo Aloyce wa dom, dogo alifafanya fureshi.
Halaf kuna watz wananishangaza wanamtolea jasho mkenya wakat hawajui hata kilocho mfanya ashinde ni nn
Sababu ni biashara tuu, ku wa please wenzetu nao wajiskie poa
 
Kama hukumuona mtz anaye stahili kushinda ndio nnao uita ugonjwa wa kupenda wageni huo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Imeniuma sana bro ujue
Pole sana mkuu mzalendo wa kweli.
Mimi sikuangalia fainali ya Maisha Plus leo nilikuwa biz sana, sasa hivi naangalia Fainali ya club raha leo show muda huu LIVE tbc 1 nasubiri mshindi.
 
Plus kupiga kura hamtaki. We mleta mada umempigia huyo mbongo kura ngapi???
Mkuu kwenye kigezo cha kura kwa cc watanzania tusiangalie sana maana kabla hata Mshind ajapatikana masoud alisema kuwa wakiangalia kura tuu Tanzania itakuwa inashinda kwa sababu hili shindano linafuatiliwa sana na watanzania .....
Alafu alisema kuna kura wanaangalia maana mtu m1 anaweza kupiga Mara nyingi kisa ni ndugu yake (tz)

Kwa hiyo sidhan kama kigezo cha kura kimeangaliwa sana
 
Maisha Plus ilishirikisha nchi za Burundi, Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania, ishu ya kwamba lazima apewe ushindi Mtanzania ni ya watu wasiofikiri vizuri, hizo nchi zote walikuwa ni washindani, na Mkenya kashinda.
 
Kipanya anastahili pongezi, dhana yoyote ya "mwenzetu" apewe ni hatari sana. Ikianza kwa ngazi ya kitaifa itashuka mpaka kikanda, kimkoa, kidini, kikabila n.k. Huwezi kutotenda haki eti kwa vile umpe fulani au kwa vile nchi fulani inakufanyiaga hivi au vile. Maisha plus imetenda haki.
 
Angeshinda mtanzania ingeonekana ni kupendelea na kusingekuwa na maana ya kuleta washiriki kutoka east Africa nzima.......so kuweka mambo sawa inabidi wampe ushindi mtu wa nje ya tanzania hata kama wa tanzania alikuwa vizuri ili kuwavutia washiriki wa nchi nyingine mbali na tz kushiriki kwa wingi.
Nimekuelewaa mkuu
 
Wanazingua kina masoud wameongozwa na hisia kuwa mshindi akitoka kwetu wataonekana wanaupendeleo Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi alafu wanampa mkenya
Tatizo hamkumpigia kura, mlitaka wapite njia za mkato kumtangaza mtanzania ambaye kura zake hazikutosha kwa uzembe wetu wa kutompigia?
 
Back
Top Bottom