Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Kura hamjapiga mnalalamika humu kama mngekua mnafatilia kuanzia Mwanzo wakenya walijituma sana wao walikuja na ushindi akilini a the way waliishi walionekana kabisa wanasaka ushindi Watanzania maisha ya kuigiza yalikua yamezidi.
Afadhali useme wewe mkuu...me TZ mizembe sana,kulalamika tu na ubaguzi wa kipuuzi...Kura hayapigi kazi kutoa povu tuu
 
Kusema kwa sababu shindano limefanyikia hapa ndo tumpe mshindi wa Tz tayari hapa tumekuwa wabaguzi .

Tukubali mfumo wetu wa elimu una matatizo unatufanya tukariri kuliko kuelewa ndio maana utaona wengi wa washiriki wetu walikuwa na mapungufu ya reasoning capacity / conmon sensewakati wakipewa tasks zao.

Wabongo tuache kufake maisha ukiona walikuwa wengi wao wanafake kule ndani lkn hata comment zetu nyingi zimekaa kibongo movie
 
Mijiu mizigo sana humu,Kaz yao ni kukodoa mimacho kweny TV bila kupiga kura...Alafu bila aibu ina lalamika eti kwa nn kapewa mkenya...utafkir alipewa zawadi kama pipi..Na wanasahau haya mashindano ni ya East Africa'means yoyote anaweza kushinda kwa wingi wa kura na uwezo pia...Honestly yule bint alikuwa na uwezo mkubwa tuu...Wa dodoma pia ni mkali sana,sema tatiz ni wabongo,hayapigi kura kazi kulalama tuu..
Huyo mkenya alishinda kwa kura ngapi we mwenenzetu nayejua kura zilivo pigwa!!?

Wala hakustahili kuwa mshindi
 
Ulitaka uonyeshwe kura zinavyopigwa?...Hovyo kweli..
Khaa!!
Acha bangi we jamaa sasa unasema hatujapiga kura wakat hujui tumeshindwa kwa kura ngap!!

*sasa mi ndio nakwambia kapewa tuu
 
Khaa!!
Acha bangi we jamaa sasa unasema hatujapiga kura wakat hujui tumeshindwa kwa kura ngap!!

*sasa mi ndio nakwambia kapewa tuu
Kupewa maan ayake nini?..Hakushiriki?,hivi ni lini watu mtaacha fikra za finyu za kibaguzi?...Yaani akili za waaandaaji wote zingekuwa kama za kwako sithani hata kama kina Diamond wangeshinda tuzo huko MTv na kwingine..Eti kisa mashindano yamefanyika TZ basi Mtz apewe tuu bula hata kuwa na vigezo?...Pigeni kura acheni kulalama kifala.
 
Kupewa maan ayake nini?..Hakushiriki?,hivi ni lini watu mtaacha fikra za finyu za kibaguzi?...Yaani akili za waaandaaji wote zingekuwa kama za kwako sithani hata kama kina Diamond wangeshinda tuzo huko MTv na kwingine..Eti kisa mashindano yamefanyika TZ basi Mtz apewe tuu bula hata kuwa na vigezo?...Pigeni kura acheni kulalama kifala.

Kwanza wewe ndio fala, mpumbavu kabsa, huwezi kuja kunitukana kama huna hoja, pili siyo ubaguzi inautwa utaifa, na kuacha kujipendekeza kwa wakenya huyo muandaaji kama mjanja si aweke hizo kura ambazo tumeshindwa, na unavo niona nalalamika nimepiga kura usi pretend kama unanijua.
Umesema mtz hana vigezo, kigezo kipi ambacho hana!!.
Ebu punguza kuandika vitu ukiwa umelewa hueleweki.
 
Mbona sakata afrika mashariki lile shindano la kudance linaloandiliwa na wakenya mwaka juzi crew ya temeke kutoka TZ ilishinda..Em tuache lawama na wivu wa kike kama alistahili iyo milioni 30 bac acha apewe..OVER
 
Wanazingua kina masoud wameongozwa na hisia kuwa mshindi akitoka kwetu wataonekana wanaupendeleo Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi alafu wanampa mkenya

Unataka kusemaje? Kwamba kina Masoud wamechakachua kura na kumpora mshindi kijana wetu wa Dodoma ili tu isionekane waTZ tumejipendelea?
 
Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.

Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.

KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Mkuu hili shindano linahusu nini na linakuwaje? Naomba mnifahamishe nisije nikachangia nje ya key.
 
Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.

Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.

KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
masud kampa mkenya ushind ili waitangaze maisha plus kenya,plan ake n kuisambaza africa nzima.amehis next tym anawez kosa washirik toka njeeee
 
Watanzania Nouma kila Kitu wanapinga .....mfano miss Tanzania juzi ooh hakustahili ilifaa Fulani...Maisha plus oooh kwanini wamempa mkenya..Haya wangempa mtanzania huyo wa Dodoma wangesema ooh kwanini hawakumpa yule....Tujifunze kukubali hali.ama sivyo andaa ya kwako umpe unayemtaka.
 
M
Hivi hilo shindano linge andaliwa Kenya mbongo yeyote angeweza kubeba kweli!!? Nawaza tuu lakin
Mbon wakwetu walishachukua kwao mara kibao za dance mia mia na tusker football challenge hamkuhoji?
 
Tuache kuongea bila kuwa wazarendo mkenya alistahiri ndy maana kashinda 30m. Mbona watanzania walishinda kwenye sakata mashariki wakenya hawakulalamika kwa nn sisi tu?
Acheni hizo sio poa piga kula ushindi uje kwako huu mchezo hauitaji hasira
 
Mwambieni huyu mleta uzi kuwa AENDE YEYE AKAKAE PORINI THEN TUTAMPA USHINDI AFURAHI
 
Mnalalamika mlipiga kura? Nyie ndo ambao hampigi kura ila mnalalamika maisha magumu
Ni watanzania wangapi walio weza kufuatilia hicho kipindi.... Wangapi wana kingamuzi cha azam Tz hii
 
Japo sijaangalia ila huenda mTz hakua na kura za kutosha
 
Nepotism, favauratism hazifai ,ndio maana hamuendelei. .uwezo ndio ukubebe na siyo kubebana kisa udugu

Ndio maana mnazalisha wazembe ,
 
Back
Top Bottom