Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Watu wanasema ushindi ungebaki tanzania hata kama kura hazijatosha !mfano kule mwanza watu wamesema kapata sababu ya kuwa anatoka katika jiji yalipofayika mashindano bila kubadilika katika fikra tutabaki kubwabwaja tu na kama watu walitaka tushinde sisi ilikuwa haina maana ya kupanua wigo wa mashindano bado tuna safari ndefu ndugu yangu.Hivi ni kapewa ushindi au kashinda? Anastahili acheni majungu