Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Leo tumeshuhudia kilichtke maisha plus mkenya kaondka na M 30 zake kiulainiiiiiiih
Tatzo linakuja hapa baada ya mchujo kupita then kuna kitu kinaitwa kupiga kura mwisho wa siku nchi jirani lazima washinde kwasababu ya upigaji wa kura
Kumbuka kwa Tz kuna washiriki wa kila mkoa so kila mkoa watajaribu kumpigia kura mtu wao ninachomaanisha kura zinagawanyika kila mtu kutokana na kundi lake
Kwa nchi za jirani lazima washinde kwa kigezo kua nchi nzima wanahimizana kumpigia kura mtu mmoja ama wawili wanaowakilisha nchi yao
Labda kama kuna mtu wakuniproce wrong aje lakn kwa namna hii hatutofka mbali na ukizingatia kura hazina limitation

GERANT LE GERANTEEH
Licha ya kuwa wanatokea mikoa mingi lkn pia watanzania sisi ni wavivu kwenye suala la upigaji kura na linapokuja suala la kutumia social network tupo chinj. Hata washiriki wetu wangekuwa wameenda nje bado tu tungeangushwa.
 
She deserves it jamani. Wabongo 2nafail hapa kny kulalamika
Hapana
Ana deserve top 3,
Ila ushindi tungempa mwenzetu kwa kweli mi sjapenda.
Msechu aliendaga Kenya akionekana ana stahili kabsa lakini hakushinda wenzetu wanajua kujipa flag.
*ni mimi lakin na mawazo yangu hayo sja furahia
 
Huu ndio ubaguzi sasa kungekua na point gani ya kuleta wakenya warwanda waburundi na waganda kama mwisho wa siku ni lazima mbongo ashinde? kama wakenya walileta ubaguzi wakawa wanawapa wa kwao hao ni wao sisi ni watz lazima tuoneshe utofauti kama kashinda ameshinda apewe ya nn apokonywe ushindi wake wakati kashinda eti kisa mkenya... emu tuache ubaguzi hii kitu ndo inafanya moaka leo wazungu wanatutawala sababu hatuna umoja
 
Hivi hilo shindano linge andaliwa Kenya mbongo yeyote angeweza kubeba kweli!!? Nawaza tuu lakin
Mkuu sio rahisi, Kenya huondoki na zawadi yoyote iwe kombe sijui pesa labda itokee Bahati mbaya ndio ushinde, timu yangu yangu ya mpira (mchezo nauhifadhi) Walikuwa wanakwenda karibu kila Mwaka wachezaji wakirudi wanalalamika kwa waliochofanyiwa, hivi uliona wapi fainali ni timu kutoka Kenya na Tanzania refa awe mkenya wakati mganda yupo?
 
Wabongo bhana hatupendani kishenzi mi wamenikera hadi basi

Wanampa Mkenya wanajipendekeza tuu
 
Mkuu sio rahisi, Kenya huondoki na zawadi yoyote iwe kombe sijui pesa labda itokee Bahati mbaya ndio ushinde, timu yangu yangu ya mpira (mchezo nauhifadhi) Walikuwa wanakwenda karibu kila Mwaka wachezaji wakirudi wanalalamika kwa waliochofanyiwa, hivi uliona wapi fainali ni timu kutoka Kenya na Tanzania refa awe mkenya wakati mganda yupo?
Kuna mwaka flani nadhani mwaka juzi mbona kuna waTanzania walishinda Sakata Africa mashariki?
 
Hapana
Ana deserve top 3,
Ila ushindi tungempa mwenzetu kwa kweli mi sjapenda.
Msechu aliendaga Kenya akionekana ana stahili kabsa lakini hakushinda wenzetu wanajua kujipa flag.
*ni mimi lakin na mawazo yangu hayo sja furahia
Sasa mtu apewe ushindi kisa tu ni mbongo. Kura hazjatosha
 
Ki uhalisia ALOYCE SAMBUTA au ALEX ndiyo walitegemewa sana lakini kimetokea nini wamempa OLIVE,nawatakia maisha mema vijana wote huko waendako.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Huu ndio ubaguzi sasa kungekua na point gani ya kuleta wakenya warwanda waburundi na waganda kama mwisho wa siku ni lazima mbongo ashinde? kama wakenya walileta ubaguzi wakawa wanawapa wa kwao hao ni wao sisi ni watz lazima tuoneshe utofauti kama kashinda ameshinda apewe ya nn apokonywe ushindi wake wakati kashinda eti kisa mkenya... emu tuache ubaguzi hii kitu ndo inafanya moaka leo wazungu wanatutawala sababu hatuna umoja
Daaah!!
Watanzania mnazidi kuniskitisha, hivi hupendi mbongo mwenzako angekuwa na milion 30!!!
Hivi hao wakenya unawajua au unawaskia!! Sasa subiri maneno yao watakayo toa ukipata time tembelea twitter ndio utajua kwa nn hakuna haja ya kuwapa
 
Mkenya kastahili kama hukupiga kura ni bora ukakaa kimya tu sababu umeambiwa ni Reality Show..halafu mwingine anasema tungejipigia pande tu ukitaka mapande yapo kwenye tuzo za muziki..Masoud mwaka huu nimempa big up sababu nchi zote zilipewa nafasi ya kupiga kura japo na majaji nao wamechangia kumpata mshindi
 
Mkuu sio rahisi, Kenya huondoki na zawadi yoyote iwe kombe sijui pesa labda itokee Bahati mbaya ndio ushinde, timu yangu yangu ya mpira (mchezo nauhifadhi) Walikuwa wanakwenda karibu kila Mwaka wachezaji wakirudi wanalalamika kwa waliochofanyiwa, hivi uliona wapi fainali ni timu kutoka Kenya na Tanzania refa awe mkenya wakati mganda yupo?
Hahaha
Na wataongea kweli majirani! Wabongo ndio maana hata waarabu wanatufinga kwenye soka, hatupendani, hatusapotiani, tunapenda wageni kuliko wenzetu.
Hata maisha plus tuliyo andaa wenyewe!!!
Hatuna sababu ya kutotoa mshindi mkuu
 
Back
Top Bottom