Monasha
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 561
- 422
Licha ya kuwa wanatokea mikoa mingi lkn pia watanzania sisi ni wavivu kwenye suala la upigaji kura na linapokuja suala la kutumia social network tupo chinj. Hata washiriki wetu wangekuwa wameenda nje bado tu tungeangushwa.Leo tumeshuhudia kilichtke maisha plus mkenya kaondka na M 30 zake kiulainiiiiiiih
Tatzo linakuja hapa baada ya mchujo kupita then kuna kitu kinaitwa kupiga kura mwisho wa siku nchi jirani lazima washinde kwasababu ya upigaji wa kura
Kumbuka kwa Tz kuna washiriki wa kila mkoa so kila mkoa watajaribu kumpigia kura mtu wao ninachomaanisha kura zinagawanyika kila mtu kutokana na kundi lake
Kwa nchi za jirani lazima washinde kwa kigezo kua nchi nzima wanahimizana kumpigia kura mtu mmoja ama wawili wanaowakilisha nchi yao
Labda kama kuna mtu wakuniproce wrong aje lakn kwa namna hii hatutofka mbali na ukizingatia kura hazina limitation
GERANT LE GERANTEEH