Afadhali useme wewe mkuu...me TZ mizembe sana,kulalamika tu na ubaguzi wa kipuuzi...Kura hayapigi kazi kutoa povu tuuKura hamjapiga mnalalamika humu kama mngekua mnafatilia kuanzia Mwanzo wakenya walijituma sana wao walikuja na ushindi akilini a the way waliishi walionekana kabisa wanasaka ushindi Watanzania maisha ya kuigiza yalikua yamezidi.
Sja kuelewaKwa kauli hizi bado mtazidi kulalamika wazungu wanawabagu?....
Huyo mkenya alishinda kwa kura ngapi we mwenenzetu nayejua kura zilivo pigwa!!?Mijiu mizigo sana humu,Kaz yao ni kukodoa mimacho kweny TV bila kupiga kura...Alafu bila aibu ina lalamika eti kwa nn kapewa mkenya...utafkir alipewa zawadi kama pipi..Na wanasahau haya mashindano ni ya East Africa'means yoyote anaweza kushinda kwa wingi wa kura na uwezo pia...Honestly yule bint alikuwa na uwezo mkubwa tuu...Wa dodoma pia ni mkali sana,sema tatiz ni wabongo,hayapigi kura kazi kulalama tuu..
Ulitaka uonyeshwe kura zinavyopigwa?...Hovyo kweli..Huyo mkenya alishinda kwa kura ngapi we mwenenzetu nayejua kura zilivo pigwa!!?
Wala hakustahili kuwa mshindi
Khaa!!Ulitaka uonyeshwe kura zinavyopigwa?...Hovyo kweli..
Kupewa maan ayake nini?..Hakushiriki?,hivi ni lini watu mtaacha fikra za finyu za kibaguzi?...Yaani akili za waaandaaji wote zingekuwa kama za kwako sithani hata kama kina Diamond wangeshinda tuzo huko MTv na kwingine..Eti kisa mashindano yamefanyika TZ basi Mtz apewe tuu bula hata kuwa na vigezo?...Pigeni kura acheni kulalama kifala.Khaa!!
Acha bangi we jamaa sasa unasema hatujapiga kura wakat hujui tumeshindwa kwa kura ngap!!
*sasa mi ndio nakwambia kapewa tuu
Kupewa maan ayake nini?..Hakushiriki?,hivi ni lini watu mtaacha fikra za finyu za kibaguzi?...Yaani akili za waaandaaji wote zingekuwa kama za kwako sithani hata kama kina Diamond wangeshinda tuzo huko MTv na kwingine..Eti kisa mashindano yamefanyika TZ basi Mtz apewe tuu bula hata kuwa na vigezo?...Pigeni kura acheni kulalama kifala.
Wanazingua kina masoud wameongozwa na hisia kuwa mshindi akitoka kwetu wataonekana wanaupendeleo Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi alafu wanampa mkenya
Mkuu hili shindano linahusu nini na linakuwaje? Naomba mnifahamishe nisije nikachangia nje ya key.Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.
Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.
KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
masud kampa mkenya ushind ili waitangaze maisha plus kenya,plan ake n kuisambaza africa nzima.amehis next tym anawez kosa washirik toka njeeeeMshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.
Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.
KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Ila huyo mdada ka deserve kabisa ushindimasud kampa mkenya ushind ili waitangaze maisha plus kenya,plan ake n kuisambaza africa nzima.amehis next tym anawez kosa washirik toka njeeee
Mbon wakwetu walishachukua kwao mara kibao za dance mia mia na tusker football challenge hamkuhoji?Hivi hilo shindano linge andaliwa Kenya mbongo yeyote angeweza kubeba kweli!!? Nawaza tuu lakin
Ni watanzania wangapi walio weza kufuatilia hicho kipindi.... Wangapi wana kingamuzi cha azam Tz hiiMnalalamika mlipiga kura? Nyie ndo ambao hampigi kura ila mnalalamika maisha magumu