Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Wabongo ndio hatuna maana sasa wamempaje mkenya na wangempa mbongo hata angesukuma gurudum la maendeleo kwa kulipa kodi na kusiadia taifa!!
Na usawa wa magufuli huu wangekuwa wamefanya la maana
hata olive amelipa kodi, safi sana olive kwa ushindi ulistahili!
 
Wanazingua kina masoud wameongozwa na hisia kuwa mshindi akitoka kwetu wataonekana wanaupendeleo Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi alafu wanampa mkenya
ukabila na undugu utakuua ww!

naona mlishajiandaa kijiji kizima kumpokea huyo aloyce mkachinja na ng'ombe kwa ajiliya sherehe kibao kikageukaas!

safi olive kwa ushindi ulistahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…