nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
hata olive amelipa kodi, safi sana olive kwa ushindi ulistahili!Wabongo ndio hatuna maana sasa wamempaje mkenya na wangempa mbongo hata angesukuma gurudum la maendeleo kwa kulipa kodi na kusiadia taifa!!
Na usawa wa magufuli huu wangekuwa wamefanya la maana