... noma sana; Ashura wabaya sana. Halafu ndugu wa aina hii wanakuwa kama mazezeta fulani hawajielewielewi hadi utu uzima wanaishia hivyo hivyo.Sema huyu kaka alipatikana ila kwa kumpa mtu nauli kwenda kumfuata, naona Ashura wa mafia alimficha π€£π€£
Pareto (80/20) Rule! Dunia hapa ilipo ni contribution ya 20% of the people; 80% tupo tupo tu; hatuna contribution ya maana sana bora liende.Tumshukuru Mungu kwa kututoa kule.
Tuwashukuru pia waliojitoa na kuitoa dunia kule ilikokuwa na kuileta kiganjani.
... you are right! Kuna uwezekano wakawa wanatucheka kutokea sayari ya Mars!Changez lazima ziwepo ili watu watoke point A kwenda point B, miaka 1000 mbele kizazi pia kitatucheka sana sisi wa 2022 maana teknolojia itakuwa mbali sana pia.
... enzi hizo mnafiwa na ndugu ni ndugu walio karibu na tukio ndio wanapata taarifa. Ndugu walioko mbali wanakuja kupata taarifa hadi baada ya miaka mitatu wengine never! Leo hii through technology (Whatsapp groups, etc.) within no time habari zimesambaa kwa wote na picha/video za msiba, harusi, na matukio mengine mnatumiana live! Dah!Leo hii asubuhi ukiamka unauwezo wa kujua ndugu zako woote walivyoamka na status za afya zao na hata kuwatumia hela na kuzipata muda huo.
Leo unaweza kuamua kutoka Bukoba na kuwahi kumzika ndugu yako Mtwara, kila hatua ina sacrifice zake.
Mbaya, they don't care, na usipokaa sawa wanakuulia mbali... mavijana ya leo tena ukileta za kuleta yanaku-block; ha ha ha!
... uanawachelewesha urithi!Mbaya, they don't care, na usipokaa sawa wanakuulia mbali
Hii maneno 10 hadi miaka ya nyuma hapa tulikuwa tunafundishwa namna ya kuandika sikumbuki ilikuwa kwenye somo gan... kuna ile ya kutuma TELEGRAM; max. maneno 10 zaidi ya hapo unalipia every extra word. Sijui hii ndio equivalent na SMS siku hizi? Kuna binadamu wa sasa hawajui kabisa kama hii kitu iliwahi kuwepo wakati ni just a few years ago!
... hivyo ndio vitu vinatakiwa viondolewe kwenye syllabus; wanaosema baadhi ya maeneo ya mitaala yetu yamepitwa na wakati wanamaanisha vitu kama hivyo!Hii maneno 10 hadi miaka ya nyuma hapa tulikuwa tunafundishwa namna ya kuandika sikumbuki ilikuwa kwenye somo gan
Ni hatua kubwa na muhimu sana tuliyofikia!... enzi hizo mnafiwa na ndugu ni ndugu walio karibu na tukio ndio wanapata taarifa. Ndugu walioko mbali wanakuja kupata taarifa hadi baada ya miaka mitatu wengine never! Leo hii through technology (Whatsapp groups, etc.) within no time habari zimesambaa kwa wote na picha/video za msiba, harusi, na matukio mengine mnatumiana live! Dah!
Kiswahili hadi kesho wanafundisha inaitwa simu ya maandishiHii maneno 10 hadi miaka ya nyuma hapa tulikuwa tunafundishwa namna ya kuandika sikumbuki ilikuwa kwenye somo gan
Elimu yetu hiii πππ ss kweli ina msaada gan karne hiiKiswahili hadi kesho wanafundisha inaitwa simu ya maandishi
Elimu yetu hii ni bora liende... hivyo ndio vitu vinatakiwa viondolewe kwenye syllabus; wanaosema baadhi ya maeneo ya mitaala yetu yamepitwa na wakati wanamaanisha vitu kama hivyo!
... hivi unafundishaje kitu ambacho application yake katika maisha haipo tena? Kwa teknolojia ya leo ni wakati gani mtu atatuma simu ya maandishi?Kiswahili hadi kesho wanafundisha inaitwa simu ya maandishi
Shindano halina age limit, mradi uko above 18Tunawaachia madogo kwanza, tumngojee Maxence Melo atuletee shindano la mahenga π€£
I salute you bossShindano halina age limit, mradi uko above 18