Maisha tuliyoishi na Telephone Operators

Maisha tuliyoishi na Telephone Operators

Sema huyu kaka alipatikana ila kwa kumpa mtu nauli kwenda kumfuata, naona Ashura wa mafia alimficha 🤣🤣
... noma sana; Ashura wabaya sana. Halafu ndugu wa aina hii wanakuwa kama mazezeta fulani hawajielewielewi hadi utu uzima wanaishia hivyo hivyo.
 
Changez lazima ziwepo ili watu watoke point A kwenda point B, miaka 1000 mbele kizazi pia kitatucheka sana sisi wa 2022 maana teknolojia itakuwa mbali sana pia.
 
Tumshukuru Mungu kwa kututoa kule.
Tuwashukuru pia waliojitoa na kuitoa dunia kule ilikokuwa na kuileta kiganjani.
Pareto (80/20) Rule! Dunia hapa ilipo ni contribution ya 20% of the people; 80% tupo tupo tu; hatuna contribution ya maana sana bora liende.
 
Leo hii asubuhi ukiamka unauwezo wa kujua ndugu zako woote walivyoamka na status za afya zao na hata kuwatumia hela na kuzipata muda huo.

Leo unaweza kuamua kutoka Bukoba na kuwahi kumzika ndugu yako Mtwara, kila hatua ina sacrifice zake.
 
Changez lazima ziwepo ili watu watoke point A kwenda point B, miaka 1000 mbele kizazi pia kitatucheka sana sisi wa 2022 maana teknolojia itakuwa mbali sana pia.
... you are right! Kuna uwezekano wakawa wanatucheka kutokea sayari ya Mars!
 
Leo hii asubuhi ukiamka unauwezo wa kujua ndugu zako woote walivyoamka na status za afya zao na hata kuwatumia hela na kuzipata muda huo.

Leo unaweza kuamua kutoka Bukoba na kuwahi kumzika ndugu yako Mtwara, kila hatua ina sacrifice zake.
... enzi hizo mnafiwa na ndugu ni ndugu walio karibu na tukio ndio wanapata taarifa. Ndugu walioko mbali wanakuja kupata taarifa hadi baada ya miaka mitatu wengine never! Leo hii through technology (Whatsapp groups, etc.) within no time habari zimesambaa kwa wote na picha/video za msiba, harusi, na matukio mengine mnatumiana live! Dah!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Mtoa mada hii unanikumbusha mbali sana,wakati nipo mwanachuo pale Mkwawa CNE,barua zote tulizotumiwa zilikuwa zinasomwa wakati wa Assembly!!,du yule dada aliyekua anasoma zile barua sijui yupo wapi?,maana alikua ni full house woman ohoooo na mwingine wa kiume alinifurahisha sana wakati anatangaza majina kwenye bahasha, huyu jamaa alikua na maneno yake ya kiingereza duuuu, yeah nhe
 
... kuna ile ya kutuma TELEGRAM; max. maneno 10 zaidi ya hapo unalipia every extra word. Sijui hii ndio equivalent na SMS siku hizi? Kuna binadamu wa sasa hawajui kabisa kama hii kitu iliwahi kuwepo wakati ni just a few years ago!
Hii maneno 10 hadi miaka ya nyuma hapa tulikuwa tunafundishwa namna ya kuandika sikumbuki ilikuwa kwenye somo gan
 
Hii maneno 10 hadi miaka ya nyuma hapa tulikuwa tunafundishwa namna ya kuandika sikumbuki ilikuwa kwenye somo gan
... hivyo ndio vitu vinatakiwa viondolewe kwenye syllabus; wanaosema baadhi ya maeneo ya mitaala yetu yamepitwa na wakati wanamaanisha vitu kama hivyo!
 
... enzi hizo mnafiwa na ndugu ni ndugu walio karibu na tukio ndio wanapata taarifa. Ndugu walioko mbali wanakuja kupata taarifa hadi baada ya miaka mitatu wengine never! Leo hii through technology (Whatsapp groups, etc.) within no time habari zimesambaa kwa wote na picha/video za msiba, harusi, na matukio mengine mnatumiana live! Dah!
Ni hatua kubwa na muhimu sana tuliyofikia!
 
... hivyo ndio vitu vinatakiwa viondolewe kwenye syllabus; wanaosema baadhi ya maeneo ya mitaala yetu yamepitwa na wakati wanamaanisha vitu kama hivyo!
Elimu yetu hii ni bora liende
Syllabus anasoma babu mpaka kitukuu 😄😄😄
 
Kiswahili hadi kesho wanafundisha inaitwa simu ya maandishi
... hivi unafundishaje kitu ambacho application yake katika maisha haipo tena? Kwa teknolojia ya leo ni wakati gani mtu atatuma simu ya maandishi?

By the way, hiyo huduma bado inatolewa na Posts? Kama haipo why bado inafundishwa mashuleni? For what? Nonsense!
 
Back
Top Bottom